Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Mbeya City timu langu mie, piga hao walaini wa Dar!
 
kumbe na wewe upo huku, nilishazoea kukukuta jukwaa la wakubwa na mapenzi, vipi unawaonaje mbeya city ?

Mkuu mimi ni mdau mkubwa wa JF Lounge yote hivyo hata huku nipo sana tu...

Mbeya City ni wazuri sana kwa kuwa wanacheza jihad na kwa kiwango kile kile kuanzia mwanzo hadi mwisho...
 
Azam wansawazisha hapa,ngoma bbado mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…