Nyie kweli Vibonde.
Ngapingapi mkuu hapo taifa
mapigo ya moyo yameongezeka,ila nawaamini sana hawa vijana
Ngoja tuwapige la Nne, ndio ujue sisi ni vibonde ama vichuguu
kwa kweli droo itakuwa nzuri sana kwa yanga
watoto wanajisahau sana..
Ahsanteee Azam. Sasa mpira unaenda Kuisha.
kwa kweli droo itakuwa nzuri sana kwa yanga
Ngoja tuwapige la Nne, ndio ujue sisi ni vibonde ama vichuguu
Mungu saidia
Mungu saidia game ya Azam na Mbeya City iishe kwa sare...
Umerudi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hapa ni mtakuja tu
Duh!kumbe Azam nayo inawashabiki!