Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

kwa kweli droo itakuwa nzuri sana kwa yanga
 
Ngapingapi mkuu hapo taifa

Nipo Mbande mkuu...tumekuja kutia fitna huku...ila najua Taifa tunaongoza.
----------
update
----------

Yanga 3 - 0 Oljoro.... na gemu imeisha sasa
 
Duh! hawa madogo ni noma.

Chonde chonde Simba na Yanga msiiharibu hii timu.
 
Daaaaah.........Maumivu niyapatayo hawa wauza rambaramba wachomoapo nayajua mwenyewe. Ee Mola tujalie nguvu tushinde game hii.
 
pira umekwisha na matokeo ni droo
Azam 3 Mbeya city 3
 
Back
Top Bottom