Pole mtawapiga wakija mbeya
Hongera kwa kufikishwa "kileleni"
Hongereni sana kwa kuwa kileleni wakuu........maombi yenu yamesikilizwa.
Balantanda, watu8, Fidel80 na wanajangwani wote.
Daima mbele, nyuma mwiko...
Azam wansawazisha
Hongera kwa kufikishwa "kileleni"
bora atuletee hata mpira maana Azam wamekuwa na shingo ngumu sana leo
Kwa kweli mi mwenzenu ndiyo mara ya kwanza ninaona thread ya mechi isiyohusisha Yanga au Simba ikiwa ndefu na kupata wachangiaji wengi kiasi hiki!
Talk of Mbeya City revelation & revolution.....