Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Duuh Mbeya City jana wametoa msaada kwa wagonjwa amana hosp!!!corporate social responsibility ipo juu.Team imejipanga haswa
 
Jamani hii jezi ya Mbeya City naipataje? Kila machinga ninayemsimamisha anauza manguo ya njano na mekundu wakati MCC ndio habari ya mjini kwa sasa. Bhanyambala
 
imekuwaje umu ndani mbona naona shamrashamra wakati ligi ndo kwanza ipo katikati
 
daaa ina maana Azam hawakung'oa viti?
 
Kwa kweli mi mwenzenu ndiyo mara ya kwanza ninaona thread ya mechi isiyohusisha Yanga au Simba ikiwa ndefu na kupata wachangiaji wengi kiasi hiki!

Talk of Mbeya City revelation & revolution.....
 
Kwa kweli mi mwenzenu ndiyo mara ya kwanza ninaona thread ya mechi isiyohusisha Yanga au Simba ikiwa ndefu na kupata wachangiaji wengi kiasi hiki!

Talk of Mbeya City revelation & revolution.....

and here we are......karibu chama la Mbeya City
 
Back
Top Bottom