Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
say no to ndumbalism,say no to game fixing
2pien matokeo hapo baadae wana jm itakua poa
Nafurahia ujio wa Mbeya City kwenye ligi kuu yetu,kwani wameleta changamoto mpya.Watu saahizi tunaongelea mechi ya Azam na Mbeya City.Tukiendelea hivi mpira wetu utakua.Ni lazima tuweke mkakati wa kumaliza dominance ya Simba na Yanga kwenye ligi yetu ili mpira ukuwe.Hii ni changamoto kwa mikoa mingine kuhakikisha inaandaa timu nyingine ligi kuuili kuleta ushindani.
Chakusikitisha ni kwamba Azam wako uwanja wa nyumbani lakini mashabiki wa Mbeya City ni wengi kuliko wa Azam FC
Nimesema wenye timu yao wataelekea Taifa kushangilia timu yao lakini pia watani wa timu ya Wananchi wataelekea Taifa pia kuzomea hivyo Azam atabaki na SSB Family, uwanja ukijaa ni mashabiki wa Mbeya City waishio karibu na maeneo ya Dar na wengine wamesafiri na timu kutoka huko kwao Mbeya. Mashabiki wa Azam FC wakifika 200 (mia mbili watakuwa na bahati kubwa sana).
ondoeni dominance ya simba ambao tayari wameanza kusalimu amri lakini dominance ya yanga haitaondoka kamwe hadi mwisho wa dunia.
Wote nliowapa likes tukutane baada ya ushindi wetu.
Mbeya city wanmeingia choo cha watoto lazima wakalie poti walilokalia kaka zao Simba na Yanga....
Mtake msitake chamanzi mtahamia tuuu..
"Nlikuwepo":bolt: