Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Uwanja wa taifa ni natural zakupanda zile ila kule chamazi complex ni za bandia

halafu jana nimeona baadhi ya sehemu uwanjani nysi zimekauka,ni macho yangu au ndio uhalisia?
 
Nafurahia ujio wa Mbeya City kwenye ligi kuu yetu,kwani wameleta changamoto mpya.Watu saahizi tunaongelea mechi ya Azam na Mbeya City.Tukiendelea hivi mpira wetu utakua.Ni lazima tuweke mkakati wa kumaliza dominance ya Simba na Yanga kwenye ligi yetu ili mpira ukuwe.Hii ni changamoto kwa mikoa mingine kuhakikisha inaandaa timu nyingine ligi kuuili kuleta ushindani.

Ondoeni dominance ya Simba ambao tayari wameanza kusalimu amri lakini dominance ya Yanga haitaondoka kamwe hadi mwisho wa dunia.
 
Chakusikitisha ni kwamba Azam wako uwanja wa nyumbani lakini mashabiki wa Mbeya City ni wengi kuliko wa Azam FC
 
Chakusikitisha ni kwamba Azam wako uwanja wa nyumbani lakini mashabiki wa Mbeya City ni wengi kuliko wa Azam FC

Nimesema wenye timu yao wataelekea Taifa kushangilia timu yao lakini pia watani wa timu ya Wananchi wataelekea Taifa pia kuzomea hivyo Azam atabaki na SSB Family, uwanja ukijaa ni mashabiki wa Mbeya City waishio karibu na maeneo ya Dar na wengine wamesafiri na timu kutoka huko kwao Mbeya. Mashabiki wa Azam FC wakifika 200 (mia mbili watakuwa na bahati kubwa sana).
 
utashanga watu watakavyojaa Azam complex
 
vikosi vyaingia uwanjani tayari kwa tanange,mbeya city twende kazi
 
naona vijana wa Mbeya city wamependeza sana ndami ya uzi wao zambarau na nyeupe,najua ushindi uppo leo
 
mbeya city wanatengeneza nafasi apa , azam wanacheza kaunta ataki
 
behind the scene.......hawa Mbeya city walikua wapi jamaniiiii!!!! sijapataga msisimko wa ligi ivi eti
 
kadi ya njano ya kwanza inakwenda kwa Mbeya city
 
Wote nliowapa likes tukutane baada ya ushindi wetu.
Mbeya city wanmeingia choo cha watoto lazima wakalie poti walilokalia kaka zao Simba na Yanga....

Mtake msitake chamanzi mtahamia tuuu..

"Nlikuwepo":bolt:
 
kipa wa MCC anapata kadi ya njano kwa kudaka mpira nje ya kumi na nane,Azam wana pata bao la kwanza hapa
 
Wote nliowapa likes tukutane baada ya ushindi wetu.
Mbeya city wanmeingia choo cha watoto lazima wakalie poti walilokalia kaka zao Simba na Yanga....

Mtake msitake chamanzi mtahamia tuuu..

"Nlikuwepo":bolt:

na nyinyi mtahamia tu MCC,hilio goli moja lisiwape kichwa
 
Back
Top Bottom