Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ndo zetu watoto wa Mbeya... leo Azam nao lazima wawaige Simba kung'oa viti...
ngoja nimpigie dingi simu kule kyela nimwambie wanao huku wanawatesa babu zao:cell:
hizi offside sio ishu kabisa..
matokeo ya yanga yakoje wadau
mkuu ndetichia nadhani hujawahi kuwaona live hawa watoto ndio maana umekuwa na moyo wa chuma kutowaamini hao watoto, naomba mpira ukiisha usikimbie jukwaa hili
goooooooooooooooo.watoto wa jijiMwaigane Yeya
Yanga mbili
kuwa shabiki wa yanga raha sana...........asante for UPDATES