Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

mkuu ndetichia nadhani hujawahi kuwaona live hawa watoto ndio maana umekuwa na moyo wa chuma kutowaamini hao watoto, naomba mpira ukiisha usikimbie jukwaa hili

kama tumeweza kuchukua point sita kwa simba na yanga na ndio walikuwa wanatufunga daily kwanini tusichukue...
 
goooooooooooooooo.watoto wa jijiMwaigane Yeya
 
yaani mwadini atoke tu yaani kama goli la kwanza tu..
 
hahaaaaaa...Azam hawaamini kinachowakuta,Azam 1 Mbeya City 2,hao ndio watoto wa Mbeya City wapi Ndetichia
 
Back
Top Bottom