Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

huwajui watoto wale wewe,ngoja wakuoneshe leo kuwa hawabahatishi

Mkuu hutaamini kitakachowatokea hao Mbeya City, nadhani leo utaamua kurudi kushabikia timu yako uliyoiasi bila kujali kama msomali bado yupo au la.
 
Mkuu najua mnaipenda timu yenu na mimi sina masilahi yoyote na timu yoyote kati ya hizo mbili, lakini Azam wako vizuri zaidi.

wewe huna maslah na timu hizi mbili ila una maslahi na Yebo yebo/Msimbazi,lakini leo tutalifanya jiji zima la Dsm lizizme kwa shangwe za Mbeya city,purple and white ndio color of the year..lets go together and experience the good and real taste of football from these young footballers.Mbeya City ......
 
hahaaa...imani yangu ni kubwa kiasi kwamba inaniambia leo Azam atakuwa mteja wa lamba lamba zake mwenyewe,hatumwi mru leo sokoni.ulisema chamazi leo hata watu 200 hawafiki,nakuhakikishia leo watu wengine watabaki nje kwavile uwanja utakuwa mdogo,wote wanataka kuwaona Mbeya city
 
....Na hili ndilo kubwa kwa MbeyaCity,wanaweza wasiwe wazuri kama Azam lakini mori wao ndio unaowabeba,hasa wakijua kuwa wana kundi kubwa nyuma yao...
 
Mungu wajalie vijana wako waibuke ushindi na hatimaye furaha irejee nyumbani huku tukisifu uweza wako. Amen!
 
hahaaa...imani yangu ni kubwa kiasi kwamba inaniambia leo Azam atakuwa mteja wa lamba lamba zake mwenyewe,hatumwi mru leo sokoni.ulisema chamazi leo hata watu 200 hawafiki,nakuhakikishia leo watu wengine watabaki nje kwavile uwanja utakuwa mdogo,wote wanataka kuwaona Mbeya city
Aliyesema watu 200 hawafiki ni Makoye Matale sio mimi.
 
Last edited by a moderator:
wewe huna maslah na timu hizi mbili ila una maslahi na Yebo yebo/Msimbazi,lakini leo tutalifanya jiji zima la Dsm lizizme kwa shangwe za Mbeya city,purple and white ndio color of the year..lets go together and experience the good and real taste of football from these young footballers.Mbeya City ......
Kwa mechi za leo nina masilahi na JKT Oljoro lakini nasikitika wataniangusha maana moto wa Yeboyebo sahivi ni kama tanuru la kuchomea dhahabu.
 
Natamani kuona hii game live toka pale Chamanzi kuisupport Mbeya City.
Msaada wenu wadau nitawezaje kufika huko nikitokea maeneo ya Posta kwani me mwenzenu mgeni kdogo wa hili jiji.!!

Vuka kigamboni,panda gari za kongowe,then utachukua gari tena mpaka mbagala rangi tatu,then utachukua ya kwenda chamazi,kukwepa foleni

Au chukua gari ya mbagala rangi tatu,then go to chamazi,mimi pia nitakuepo huko
 
....Na hili ndilo kubwa kwa MbeyaCity,wanaweza wasiwe wazuri kama Azam lakini mori wao ndio unaowabeba,hasa wakijua kuwa wana kundi kubwa nyuma yao...

chukua tano,twenzetu
 
Kwa mechi za leo nina masilahi na JKT Oljoro lakini nasikitika wataniangusha maana moto wa Yeboyebo sahivi ni kama tanuru la kuchomea dhahabu.

hahaaa...kaka mbona unataka kununua ugonjwa wa moyo kirahisi hivyo?oljoro hapo lazima afungwe japo mimi pia napenda Oljoro washinde.omba mungu sisi tushinde ili yanga asipende pale juu.hv Simba mchakato wenu wa kumtimua kocha umefikia wapi?
 
Ninachokiona, Azam wanaforward kali hasa kipre tchetche ambae anaweza funga katika mazingira yoyote , ata chipukizi joseph kimwaga ni talented anacheza kwa akili, MCC niliwaona mechi na Simba wanacheza kwa morali wanaulewano mzuri, wanajua kukamia, wanacheza kwa nidhamu.
Azam wananafasi zaidi ya kushinda wanacheza nyumbani, wamezoea uwanja wao wa nyasi bandia, MCC ndo watakuwa wanacheza kwa mara ya kwanza. hope MCC will prove me wrong
 
hivi zile nysi za uwanja wa taifa ni andia au natural?kama ni bandia tulipiga soka pale tukawashika msimbazi kwa droo,iweje tushindwe chamazi?
 
Back
Top Bottom