huwajui watoto wale wewe,ngoja wakuoneshe leo kuwa hawabahatishi
Mkuu hutaamini kitakachowatokea hao Mbeya City, nadhani leo utaamua kurudi kushabikia timu yako uliyoiasi bila kujali kama msomali bado yupo au la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwajui watoto wale wewe,ngoja wakuoneshe leo kuwa hawabahatishi
Mkuu najua mnaipenda timu yenu na mimi sina masilahi yoyote na timu yoyote kati ya hizo mbili, lakini Azam wako vizuri zaidi.
Mkuu hutaamini kitakachowatokea hao Mbeya City, nadhani leo utaamua kurudi kushabikia timu yako uliyoiasi bila kujali kama msomali bado yupo au la.
Mkuu najua mnaipenda timu yenu na mimi sina masilahi yoyote na timu yoyote kati ya hizo mbili, lakini Azam wako vizuri zaidi.
Aliyesema watu 200 hawafiki ni Makoye Matale sio mimi.hahaaa...imani yangu ni kubwa kiasi kwamba inaniambia leo Azam atakuwa mteja wa lamba lamba zake mwenyewe,hatumwi mru leo sokoni.ulisema chamazi leo hata watu 200 hawafiki,nakuhakikishia leo watu wengine watabaki nje kwavile uwanja utakuwa mdogo,wote wanataka kuwaona Mbeya city
Kwa mechi za leo nina masilahi na JKT Oljoro lakini nasikitika wataniangusha maana moto wa Yeboyebo sahivi ni kama tanuru la kuchomea dhahabu.wewe huna maslah na timu hizi mbili ila una maslahi na Yebo yebo/Msimbazi,lakini leo tutalifanya jiji zima la Dsm lizizme kwa shangwe za Mbeya city,purple and white ndio color of the year..lets go together and experience the good and real taste of football from these young footballers.Mbeya City ......
Natamani kuona hii game live toka pale Chamanzi kuisupport Mbeya City.
Msaada wenu wadau nitawezaje kufika huko nikitokea maeneo ya Posta kwani me mwenzenu mgeni kdogo wa hili jiji.!!
Aliyesema watu 200 hawafiki ni Makoye Matale sio mimi.
Kwa mechi za leo nina masilahi na JKT Oljoro lakini nasikitika wataniangusha maana moto wa Yeboyebo sahivi ni kama tanuru la kuchomea dhahabu.
Game la kawaida tu, watu ndio wanaolipaisha!
Ninachokiona, Azam wanaforward kali hasa kipre tchetche ambae anaweza funga katika mazingira yoyote , ata chipukizi joseph kimwaga ni talented anacheza kwa akili, MCC niliwaona mechi na Simba wanacheza kwa morali wanaulewano mzuri, wanajua kukamia, wanacheza kwa nidhamu.
Azam wananafasi zaidi ya kushinda wanacheza nyumbani, wamezoea uwanja wao wa nyasi bandia, MCC ndo watakuwa wanacheza kwa mara ya kwanza. hope MCC will prove me wrong