Superman son is bisexual

Masturbators hawakosei wanafanya kwa utashi wao na starehe zao hawamuumizi yeyote ila mwanaume kuingiliwa mpaka kukojolewa manii huo ni udhalilishaji mkubwa,mtu anapachikwa kipande cha nyama ngumu kinatoka na vipande vya uporo aliokula jana huku anavutwa vutwa mbavu sometimes achomoke na mavi hivi kweli unajisikiaje unavyojaza server hapa kuendelea kukazia huu ujinga?

Sabaya ningemuona wa maana kama angedili na watu dizain hii.
 
Hao wanaume unaposema wanadhalilishwa wao wanafurahia.
Ni Sawa Na watu wanavyofurahia Mpira halafu ianze campaign ya kuzuia Mpira kisa unadhalilisha watu wazima wanachezea kampira Na kupigana Marino...wewe utakubali?
Sijazi server sema nataka nipime compass ya morality inasetiwa Na Nani Kwa vigezo vipi
 

Sorry nikuulize swali jibu lako ndo litakalofunga mjadala kati ya mimi na wewe!

Nyumbani kwa wazee wako ktk wadogo zako uliowaacha pale (just an exmp) siku unafika kuwaona wazazi wako ile kufika unamkuta baba yako anamfukuza pale nyumbani mmoja wa wadogo zako wa kiume ambaye wewe ulimuona yupo bright sana kwamba hata kesho na kesho kutwa mngesaidiana mawili matatu kwa maendeleo ya familia yenu huku akimpiga madai yake (siombei),madai yake ni amekuwa shoga huku majirani,rafiki zako wapita njia wakishuhudia je!

Utathubutu kusema kwa damu yako kama yeye kwamba hizo ni starehe zake aachwe aendelee kuzifurahia?yaani wewe (kama ni mwanaume) unachowafanyaga wanawake ndicho anachofanywa mdogo wako wa damu utasema madhali anapata raha basi fresh tu acha afurahie uume za wanaume wenzake?hizi fake IDs zisitudanganye mkuu hili jambo siyo la kufanyia mjadala ni kusema tu halifai na ieleweke hivyo basi!

Vaa hivyo viatu sema utasimama upande gani hapo?
 
1.Changamoto kwako lakini Kwa wanaofanya Ni burudani...Sasa yupi yupo sahihi wewe au wao?Na Kwa vigezo vipi?
2.kwahyo kama mtu anafurahia kujikuna sikio anaona raha wewe una mamlaka ya kumzuia?
Kama mtu amechagua nyuma kupata sexual pleasure wewe umechagua Mbele Ni Nani ana mamlaka ya kumpangia mwenzake?
3.hiyo common sense sio universal Kila binadamu...kitu kinaweza Kuwa common sense Tz halafu ikawa kinyume cheke Iraq..Hyo 'common sense' inabadilika with time...mfano Shinyanga miaka 20 iliyopita ilikuwa Ni 'common sense'ukiona Bibi ana macho mekundu umuue.

*Maisha yanabadilika tuangalie jinsi ya kuishape future sio kudwell in the past..Hao waandishi wa Quran Na Biblia waliishi miaka Zaidi ya 1500 iliyopita Na waliamini Dunia Ni flat,wanawake hawafati Katika jamii Na Slavery is Okay lakini hawakuweka solution yoyote kutackle matatizo halisi ya hii Dunia kama world hunger, poverty, diseases etc.
Matter of fact wameleta religious wars ambazo zimechukua mamilioni Na mamilioni ya watu.

Nakuelewa braza Kuwa you are coming from a kind place kujaribu kunisaidia and I appreciate that.
Lakini (by the way I am not pro or anti Gaysm ) Nahisi Sisi kama watu tunaojitambua we must question everything we've been taught tokea utotoni,,mambo tuliyomezeshwa bila kuuliza mambo kama Morality (what defines goods and bad),ethics, history,Values nk.
Gone is the age of blindly beleiving now it is the age of information, knowing and proving.
Unaweza jaribu kunizuia Mimi Na 'kuniongoa' nikarudi Katika normal way of life by 'beleiving' what the church, mosque,school, politicians preach..
Lakini hautazuia movement ya kizazi hiki Na kijacho kusaka ukweli (truth)... utakuwa umezuia mafuriko Kwa kuziba Kwa kiganja.
 
Halafu Citizen B kufananisha mpira na issue kama ya ushoga huo ni uwongo,familia yenye shoga heshima hushuka sana sana yaani haielezeki wapo wazazi walikufa vihoro kwa kusikia/kuona watoto wao ktk hali hiyo pia nguvu ya familia inakuwa imeshapungua maana huyu hawezi kuwa normal akachangamana na wanafamilia wenzake tena.

Kwa Afrika hii ni hasara kubwa
 
True ni Kuwa ntakuwa upande wa wazee Na kumfukuza dogo Na kumblock lakini hii sio point niliyoi'raise.

Mimi huyuhuyu ningekuwa naishi jamii ambayo wakiona Bibi ana macho mekundu wanamuua kwakusema Ni mchawi...siku nikikuta wanamuua Bibi yangu siwezi kumtetea maana ntaonekana mshirika wake naweza kuuwawa.
Lakini nilichofanya hapa JF Ni kama baada ya mauaji ya Bibi nikaita kikao cha Kijiji Na kuuliza Kuna uhusiano Gani wa Bibi Kuwa na macho mekundu Na uchawi?
Lengo sio kutetea mabibi wachawi..la! Hasha.lengo Ni kutaka kuelewa 'kwanini' tunawaita wenye machp mekundu wachawi Na kuwaua...nikipata sababu Za mashiko nitaendelea kuwawinda Na kuwaua ...lakini Kijiji kikikosa sababu Za maana Eti kwasababu walikuta babu Na babu zao wanafanya hivyo ,,,basi ntaondoka Na moja kichwani Na kuwaona Hawa wanakijiji kama mawaki wasiojielewa.
 
Ni vivo hivo kwa jamii zinazotahiri wanawake...binti akigoma kutahiriwa atatengwa Na wenzake Na familia yake itadharaulika.
Na itakuwa hasara Kwa hiyo familia.

Lakini swali linakuja...je! hiyo Ni sababu Tosha ya kuhalalisha ukeketaji wa wanawake?(hasara Kwa familia,kutengwa Na jamii)
 
hahahaha maneno kuntu
 
kenya wanataka ushoga kuruhusu,kuna baadhi ya watanzania wanachochea ushoga,mwanaume wa kiafrica ni kiumbe chenye nguvu,kisichogeuzwa nyuma na mwanaume mwenzako,hatutaki ushoga kwenye nchi yetuuu
 
Cha kawaida na Cha fahari labda kwako mkuu.... ..

Laana kum!
 
Ukweli ni kwamba kwenye issue ya ushoga, wazungu au mzungu hawajawahi kuwa maadui katika jamii zinazotuzunguka sie ngozi nyeusi na hasa Tanzania

Maadui wakubwa wa kueneza ushoga na tabia zake katika nchi za Afrika wala sio wazungu tunaongepeana tu ilhali kila mtu anajua kuwa ni wapemba na warabu

ni maeneo mangapi ambayo kuna familia zinaishi karibu na wazungu ili waharibike kutokana na kuiga tabia zao? Je na jamii ngapi zinaishi Kwa kuchangamana na waarabu na wapemba?

Issue ya ushoga na wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile imetokea Kwa warabu na wapemba baada ya kuanza kujihusisha na mahusiano na wabongo, hao ndio wakafanya na wabongo kuanza Kula wanaume na wanawake njia tofauti na wala sio wazungu

Tuacheni unafki maadui zetu tunaishi nao katika jamii zetu na wala ata siku moja adui yetu kwenye issue ya ushoga hajawahi kuwa mzungu, mzungu anawasaidia tu ili muwe wazi na msifanye Kwa vificho na kujificha kwenye vichaka vya Dini

Nenda nchi yoyote inayojifanya kushika sana dini ya kiislamu alafu angalia vile kwao Jambo la kulawiti linavopewa uzito mdogo, mfano mzuri ni hapo Zanzibar tu, wanajikuta wameshika dini kweli kweli na hawataki kuskia issue za ushoga ila kila siku case za watoto kulawitiwa haziishi na zinamalizwa Kwa vikao vya familia tu ni kheri ata bara mtu anakula Mvua za kutosha

Zanzibar ukilewa tu ukazima network na huna kampani ukija kuzinduka cha Kwanza ni kuangalia kama marinda yako salama, ila ukiwatazama vile wanajifanya ni washika Dini utasema hawa ndio watu sasa kumbe wanafki watupu

Wazungu hawajaamua kuwa wanafki kama waarabu, wao wameamua kulasimisha ujinga unaofanywa asilimia kubwa na jamii zingine Kwa usiri, Adui yetu kwenye issue ya ushoga sitaki kuamini kuwa ni wazungu, kama tunaanza kupambana basi tuanze na warabu na wapemba ambao tunaishi nao kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…