1. Hizo ndizo changamoto zinazokuja na hivyo ni viashiria vya tunapokwenda. I mean kama mwanaume anaweza kumla mwanamke huko hawezi shindwa mla mwanaume mrembo mwenye muonekano soft wa kike. So hii ni changamoto ya kiakili sawa kabisa na mtu mzima ambaye akiona kitoto cha kike cha miaka 7 ,5, 4 au 3 kikamsisimua kihisia na kutaka kukiingilia. Haya ni matatizo ya akili.
2. Sehemu ya mwili kuwa na nerves za kukufanya kusisimka haimaanishi kuwa ni kaajiri ya kufanyia ngono zako. Kumbuka huo ni mfumo wa hisia na mguso hizo nerves ni sehemu ya mfumo wa umeme uliosambaa sehemu nyingi mwilini.
Nitakupa mfano, sikio lako kwa ndani lina hizo nerves, kuna muda likiwasha ukichukua pamba stick au unyoya wa kuku na kutumia kujipekecha au kujikuna unapata utamu ambao una elements za sexual pleasure. Kwenye ngozi yako tu hapo mfano ukawa na muwasho mgongoni kukiwa unakunwa au kujikuna unapata hali fulani ya raha sana. Hata kichwani mwako kuna kifaa fulani kinafanana na egg bitter , mtu akikukuna nacho kichwani unapata utamu sana, hivi hutumika kuwatuliza watoto wanapolia hadi wanalala.
Hata jicho lako usoni likiwasha ukiwa unalifikicha unapata utamu. Hii yote ni zile nerves zinapeleka taarifa ya msisimko kwenye ubongo kwa sababu maalumu nje ya kingono. Vivo hivyo, kwenye maumbile ya nyuma na mbele hizo nerves zipo ili kufanya muscles ziweze kurespond. Mfano unapokojoa mkojo uliokubana muda mrefu hizo nerves huwa zinarespond pia.... Au unapokuwa unakata gogo huwa zinarespond ili kuamrisha misuli ifanye kazi husika kulinga na functions za ubongo na mwili.
So futa huo ujinga kichwani kuhusu sijui lile eneo kuwa na utamu kwaajiri ya kufanyia starehe. Futa futa futa.
3. Akili ya kawaida ndio kwa kiingereza tunaita "common sense". Ni common sense kwa wanadamu kuhusiana mwanaume na mwanamke na si kinyume sababu ya miaka na miaka ya kuprove hilo. Si kwamba sisi ni wa kwanza kuanza kutaka kujaribu huo ufala. Bible na Qur'an ni vitabu vinavyoitwa vitakatifu sababu vimebeba maono na experience za miaka elfu. It means wewe mtoto mdogo sana kubishana na hekima iliyohifadhiwa katika vitabu hivi simply tu kwasababu umezaliwa miaka hii ya kizazi cha raia wasio kwenda kwa utaratibu na kujifanyia yale wanataka sababu akili zao zinawashinda nguvu.
Elewa jambo moja, ukitaka uishi unavyotaka itakulazimu udesign mfumo wako wa pekee ambao utakufanya uishi kwa upweke sana. Na ukiishi vile inatakiwa hautakuwa na kazi sababu jamii tayari imeshaweka mifumo rasmi inayoamua wewe kwa matendo yako mazuri utakuwa rewarded nini na wapi na wakati gani, ukihasi mifumo hii then wewe maisha yako yote utaishi ki fugitive kwasababu utakuwa hauna protection wala radhi kwa jamii unayotoka.
Mifano ipo mingi, ukiwa mlevi, ukiwa malaya, ukiwa kahaba, ukiwa msaliti wa ndoa, ukizaa na kuzini kabla ya ndoa, haya yote ndio yameleta hizi complications zinazoanza kuturudisha nyuma kimaendeleo badala ya kusonga mbele.
Rejea vitabu vya MUNGU tafuta ukweli acha kujitoa ufahamu mdogo wangu. Pia pole kwa kutokuelewa dunia ni pahala gani maana upofu wa kiimani ndio mwanzo wa kutetereka na kuanguka.
Nakupenda ndio maana nahangaika kukuandikia haya yote ili usipotee.
1.Changamoto kwako lakini Kwa wanaofanya Ni burudani...Sasa yupi yupo sahihi wewe au wao?Na Kwa vigezo vipi?
2.kwahyo kama mtu anafurahia kujikuna sikio anaona raha wewe una mamlaka ya kumzuia?
Kama mtu amechagua nyuma kupata sexual pleasure wewe umechagua Mbele Ni Nani ana mamlaka ya kumpangia mwenzake?
3.hiyo common sense sio universal Kila binadamu...kitu kinaweza Kuwa common sense Tz halafu ikawa kinyume cheke Iraq..Hyo 'common sense' inabadilika with time...mfano Shinyanga miaka 20 iliyopita ilikuwa Ni 'common sense'ukiona Bibi ana macho mekundu umuue.
*Maisha yanabadilika tuangalie jinsi ya kuishape future sio kudwell in the past..Hao waandishi wa Quran Na Biblia waliishi miaka Zaidi ya 1500 iliyopita Na waliamini Dunia Ni flat,wanawake hawafati Katika jamii Na Slavery is Okay lakini hawakuweka solution yoyote kutackle matatizo halisi ya hii Dunia kama world hunger, poverty, diseases etc.
Matter of fact wameleta religious wars ambazo zimechukua mamilioni Na mamilioni ya watu.
Nakuelewa braza Kuwa you are coming from a kind place kujaribu kunisaidia and I appreciate that.
Lakini (by the way I am not pro or anti Gaysm ) Nahisi Sisi kama watu tunaojitambua we must question everything we've been taught tokea utotoni,,mambo tuliyomezeshwa bila kuuliza mambo kama Morality (what defines goods and bad),ethics, history,Values nk.
Gone is the age of blindly beleiving now it is the age of information, knowing and proving.
Unaweza jaribu kunizuia Mimi Na 'kuniongoa' nikarudi Katika normal way of life by 'beleiving' what the church, mosque,school, politicians preach..
Lakini hautazuia movement ya kizazi hiki Na kijacho kusaka ukweli (truth)... utakuwa umezuia mafuriko Kwa kuziba Kwa kiganja.