Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #41
Mkuu hebu nieleze Biden kwenye video clip hiyo niliyokuwekea anazungumzia nini (let's check your English listening skills)Kwa hiyo hapo katangaza baa la njaa ? Au kisa umenasa neno hunger?Unajitekenya tuu ,Marekani hawz kumbwa na njaa hata siku moja labda sisi huku
Wendawazimu hawa ,yaani USAID wanatoa billions of USD dunia nzima Kwa mwaka hiyo kugharamia Tu food programs halafu kuna kima inasema watu wanasturve US ,hiiiiiWabongo bwana,ila Hili jukwaa raha sana utakutana na vichaa,wanasiasa ,matapeli,walevi,vilaza eti marekani watu wake wanakufa njaa? wakati US aid juz katoa US dollars million 26 kwenye wizara ya elimu kupushi ujenzi wa madarasa,endelea kunywa uji na kuota ndoto za mchana
Lilivyo lipumbav linacopy na kupaste humu videos ambazo hata halijui context ya kibachoongelewa humo ,majitu mengine bhanaHuyu hajafahamu hiyo heading,hiyo njaa itakayozungumzwa hapo ni njaa inayoikumba third World countries kutokana na vita na mabadiliko ya tabia nchi
Wewe ni mpumbavu ,nionyeshe sehemu aliposema wamarekani wanasturve Kwa njaa humo kwenye hiyo videoMkuu hebu nieleze Biden kwenye video clip hiyo niliyokuwekea anazungumzia nini (let's check your English listening skills)
Punguza jazba...na acha kuruka viunzi Mkuu. Hebu nieleze Biden kwenye video clip hiyo niliyokuwekea anazungumzia nini (let's check your English listening skills)Wewe ni mpumbavu ,nionyeshe sehemu aliposema wamarekani wanasturve Kwa njaa humo kwenye hiyo video
Wendawazimu hawa ,yaani USAID wanatoa billions of USD dunia nzima Kwa mwaka hiyo kugharamia Tu food programs halafu kuna kima inasema watu wanasturve US ,hiiiii
TULIZA MSHONO WAKO BIBI AJUZA, kumbuka umetoka KUJIFUNGUA jana tu kwa KISU🔪🔪🔪 (operesheni)...Sasa ukikasirika hovyo na kupata stress nyingi kwa sababu tu 'MMEO' mmarekani alalamika njaa, utasababisha MSHONO wako kufunguka/ kuchanika tena, na kutupa shida sie nduguzo ya kuushikiza MSHONO wako kwa 🧷🧷🧷🧷🧷Wewe ni mpumbavu ,nionyeshe sehemu aliposema wamarekani wanasturve Kwa njaa humo kwenye hiyo video
Kwa sababu keshafika Marekani mpaka nyumba nyeupe ataelewa tu hicho kizungu.Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)
Mkifikia kula kumbikumbi na senene tujulishane tupeleke magunia ya senene na kumbikumbi[emoji16]HAPA TEXAS WAZUNGU TUNAKULA NAO UGALI WA YANGA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watakataa habari zaoTulia tulii kama wanyolewa na wembe wa TOPAZ....sasa ndio nasukuma dawa toka Marekani (The New York Times) iingie na kuenea vizuri zaidi mwilini mwako...
View attachment 2339113
Hasira zanini Sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Mpuuz kweli wewe ,hiyo habari umeokoteza toka wapi ,? , Badala ya kujadili mambo yanayoikabili nchi yako shithole hiyo mnajadili upuuz Tu WA nchi zisizowahusu ,Africa in sturve na njaa kila Kona , almost kila nchi Africa inakabiliwa na njaa kila mwaka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] meza imepindukaSie tokea longtaim kitambo tushazoea hayo ila kwa hawa watu wazima imekuaje tena
Kwahiyo unapingana na habari toka katk media zao Wenyewe!? Wewe ukiwa kama nani ktk serikali ya us it seems unajua mengi kuliko Raisi wa USA ? [emoji28][emoji28][emoji28]Wabongo bwana,ila Hili jukwaa raha sana utakutana na vichaa,wanasiasa ,matapeli,walevi,vilaza eti marekani watu wake wanakufa njaa? wakati US aid juz katoa US dollars million 26 kwenye wizara ya elimu kupushi ujenzi wa madarasa,endelea kunywa uji na kuota ndoto za mchana
[emoji28]Si wana akili za kijinga kama magu kwenda kusaidia nchi nyingine chakula wakati chetu hakitutoshi.
Inauma sana [emoji16][emoji16]Wanaona maruweruwe walitegemea vitu kama hivi aongee mrusi na sio hao mabwana zao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaa anapapinga kuwa hakuna njaa wakati Biden ana sema Kuna njaa , aisee ama kweli ujinga ni mzigoWote waliotoa maagizo ni marais na wanaongoza binadam sioni tofauti yake hapo maana kila agizo limeleta adhari kwa nchi husika,
Niwe nimefika au sijafika us ina maana ukiwa marekani huskiii njaa kama bongo? Au unaweza kula chakula cha wiki nzima kwa pamoja? Njaa ni njaa tu.
Unachosema wewe sawa na mtu atoke kijijini hukoooo ndanindani akifika dar akiona magari, mijumba na mengi yaliyomo anawaza humu hamna mwenye njaa kumbe wapo kibao