'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

Wabongo bwana,ila Hili jukwaa raha sana utakutana na vichaa,wanasiasa ,matapeli,walevi,vilaza eti marekani watu wake wanakufa njaa? wakati US aid juz katoa US dollars million 26 kwenye wizara ya elimu kupushi ujenzi wa madarasa,endelea kunywa uji na kuota ndoto za mchana
Wendawazimu hawa ,yaani USAID wanatoa billions of USD dunia nzima Kwa mwaka hiyo kugharamia Tu food programs halafu kuna kima inasema watu wanasturve US ,hiiiii
 
Huyu hajafahamu hiyo heading,hiyo njaa itakayozungumzwa hapo ni njaa inayoikumba third World countries kutokana na vita na mabadiliko ya tabia nchi
Lilivyo lipumbav linacopy na kupaste humu videos ambazo hata halijui context ya kibachoongelewa humo ,majitu mengine bhana
 
August 30, 20229:23 AM GMT+3Last Updated an hour ago

Asia Pacific

Solomon Islands to ban U.S. navy ships from ports - U.S. embassy

SYDNEY, Aug 30 (Reuters) - The Solomon Islands government has told the United States it will place a moratorium on navy vessels entering its ports, the United States embassy in Canberra said on Tuesday.

The notice follows an incident last Tuesday when a U.S. Coast Guard vessel, the Oliver Henry, was unable to enter Solomon Islands for a routine port call because the government did not respond to a request for it to refuel and provision.
 
Hiyo si sababu, tatizo la mwafrika ni kujua Kila kitu hata asichojua. USA inatujengea madarasa mpaka vyoo lakini mamilion ya wamarekani hawana makazi na wanalala mabarabarani mpaka majalalani bila msaada wowote. Ilichokuwa inafanywa USA ni kuprint mapene na kwenda kununua chakula ukrein au russia na kuwagawia wenye uhitaji , bila kuwajumlisha raia wake wasio na chakula wala makazi. USA ni kiumbe anapenda sifa kuliko uhalisia. Jaribu kutembelea huko Ili ujielewe.
Wendawazimu hawa ,yaani USAID wanatoa billions of USD dunia nzima Kwa mwaka hiyo kugharamia Tu food programs halafu kuna kima inasema watu wanasturve US ,hiiiii
 
Njaa gani unazungumzia? Au ya papuchi
 
Uhalo. Yaani USA afanane na wewe?. Hizo ndoto za wapi nyie warusi wa kibiti?. Kujadiri njaa kwa USA kwa nchi kama yako.
 
Wewe ni mpumbavu ,nionyeshe sehemu aliposema wamarekani wanasturve Kwa njaa humo kwenye hiyo video
TULIZA MSHONO WAKO BIBI AJUZA, kumbuka umetoka KUJIFUNGUA jana tu kwa KISU🔪🔪🔪 (operesheni)...Sasa ukikasirika hovyo na kupata stress nyingi kwa sababu tu 'MMEO' mmarekani alalamika njaa, utasababisha MSHONO wako kufunguka/ kuchanika tena, na kutupa shida sie nduguzo ya kuushikiza MSHONO wako kwa 🧷🧷🧷🧷🧷
 
Mkuu acha kupaniki bure...huyu hapa Rais Biden anaijua Marekani na raia wake vyema kuliko wewe mchimba chumvi wa Uvinza uliyenyweshwa maji ya bendera ya US 🇺🇸🇺🇸. Biden anakiri njaa kuwa janga kubwa Marekani na anaitisha kongamano kupokea maoni juu ya namna ya kumshinda adui njaa (kama unaweza msikiliza na kumuelewa mzungu akitema English)


Kwa sababu keshafika Marekani mpaka nyumba nyeupe ataelewa tu hicho kizungu.
 
Mpuuz kweli wewe ,hiyo habari umeokoteza toka wapi ,? , Badala ya kujadili mambo yanayoikabili nchi yako shithole hiyo mnajadili upuuz Tu WA nchi zisizowahusu ,Africa in sturve na njaa kila Kona , almost kila nchi Africa inakabiliwa na njaa kila mwaka
Hasira zanini Sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wabongo bwana,ila Hili jukwaa raha sana utakutana na vichaa,wanasiasa ,matapeli,walevi,vilaza eti marekani watu wake wanakufa njaa? wakati US aid juz katoa US dollars million 26 kwenye wizara ya elimu kupushi ujenzi wa madarasa,endelea kunywa uji na kuota ndoto za mchana
Kwahiyo unapingana na habari toka katk media zao Wenyewe!? Wewe ukiwa kama nani ktk serikali ya us it seems unajua mengi kuliko Raisi wa USA ? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wote waliotoa maagizo ni marais na wanaongoza binadam sioni tofauti yake hapo maana kila agizo limeleta adhari kwa nchi husika,
Niwe nimefika au sijafika us ina maana ukiwa marekani huskiii njaa kama bongo? Au unaweza kula chakula cha wiki nzima kwa pamoja? Njaa ni njaa tu.

Unachosema wewe sawa na mtu atoke kijijini hukoooo ndanindani akifika dar akiona magari, mijumba na mengi yaliyomo anawaza humu hamna mwenye njaa kumbe wapo kibao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaa anapapinga kuwa hakuna njaa wakati Biden ana sema Kuna njaa , aisee ama kweli ujinga ni mzigo
 
Back
Top Bottom