Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #41
Mkuu hebu nieleze Biden kwenye video clip hiyo niliyokuwekea anazungumzia nini (let's check your English listening skills)Kwa hiyo hapo katangaza baa la njaa ? Au kisa umenasa neno hunger?Unajitekenya tuu ,Marekani hawz kumbwa na njaa hata siku moja labda sisi huku