Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
hiyo bein sports inapatkana wapi?
Be in sports ni wazuri kwa maana ya kuwa cheap lakini quality ya matangazo ni ile ile.
Tiba
Iyo Bein inapatikana kwenye king'amuzi gani wakuu
si huku 2naipata kwenye cable
Wapi???
Mkuu angalia ulicho quote na jibu ulilotoa
Mkuu Nyenyere, my apology na asante kwa kunikosoa kistaarabu. Wengine wangeporomosha matusi hapa. I meant kujibu post ya kwanza ya mleta mada.
Tiba
Mkuu usijali, tusaidie kama dsm ving'amuzi vyake vinapatikana
Najua decoder zake zinaitwa HUMAX lakini sijui kama hupatikanaji wake kwa Tanzania ni halali kwani Be in Sports (Aljazeera Sports) wanaruhusiwa kurusha matangazo North Africa na Middle East tu. Kuna jamaa yangu anakamata Be in Sports nitamuuliza anatumia ujanja gani.
Tiba
si huku 2naipata kwenye cable
Kwenye cable? U can't be serious! Yaani unaturudisha kwenye analojia tena? This is ridiculuos