Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
tunasubiria feedback mkuu.
Nilipata nafasi ya kuzungumza na jamaa yangu anayekamata Be in Sports lakini hakunisaidia kujua tulichokuwa tunakitaka. Yeye anasema ameunganishiwa na jirani yake hivyo mitambo kamili iko kwa jirani yake. Anasema hajui huyo jirani anaipata vipi. Lakini kuna mdau mmoja hapa alisema unaweza kuipata kupitia decoder ya Star Times. Mwenye ukweli juu ya hili atuhabarishe.
Tiba