Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

tunasubiria feedback mkuu.

Nilipata nafasi ya kuzungumza na jamaa yangu anayekamata Be in Sports lakini hakunisaidia kujua tulichokuwa tunakitaka. Yeye anasema ameunganishiwa na jirani yake hivyo mitambo kamili iko kwa jirani yake. Anasema hajui huyo jirani anaipata vipi. Lakini kuna mdau mmoja hapa alisema unaweza kuipata kupitia decoder ya Star Times. Mwenye ukweli juu ya hili atuhabarishe.

Tiba
 
Asante mkuu Tiba, naomba wadau wenye ufahamu mzidi kutumegea.
 
Last edited by a moderator:
wadau nauliza

kuna uwezekano wa kuwa na decoder za humax kadi ya bein sports kupata channel hizo tanzania.. namaanisha channel za bein

kwa sasa..
 
kuna mdau kasema unaweza ipata kutumia king'amuzi chochote, ila kuna namna ya kuipata. Ngoja nimuulize vizuri
 
mrejesho wakuu kuhusu hiyo be in sport maana nahisi harufu ya ukombozi wa sisi walalahoi kwenye soka maana tulihisi mkombozi kaja kumbe anaishia kuturushia senema zetu na ligi inayochezwa katikati ya wiki bila kujali ka mashabiki tunakuwa makazini
 
Bila shaka unamaanisha Azam TV, I stand to be corrected.
 
Ok asante. .utanipa mrejesho.

"beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimradi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti la king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcad yao na unatafuta dish la futi 8. Au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min Hd, au qsat 23 na zingine aina hii, unachofanya unatafuta dish la kawaida futi 6 c-band unalielekeza juu hapo unaipata beinspot. Na kuna namba fulani hv ukizingiza unapata bure kabisa hakuna kulipa hata shilingi."
 
Asante mkuu ntajaribu hii njia..
 
Umemeza neno digital eeeh ha ha
Anadhani cable ni ile tuu inayopatikana katika RF tu, ile ambayo tulikua hadi tunawaibia kwa kukata waya kisha unaingiza kwa mwenzako? Siku hizi ni cable nyingi ili ifanyekazi lazima upewa na receiver maalum! kama hajui angeuliza tu.
 
mi kwangu sina receiver na nalipa buku 13 napata chanel 80 zikiwemo beinspot tena mbili,sky sport ambazo naweza pata ligi zote ulaya kubwa 100%.
 
Wakuu tuykumbuke Beinsport ni kwa ajili ya Michezo tu, ila super sports ina aina zote za channel.
So super sports ndio mpango mzima, ila tatizo hela.

pitia tena makalabrasha yako uperuzi vizuri, supersport ni michezo tu kama bein sport mkuu
 
nieleweshe bro umepatajepataje nami nifanye mchakato nielekeze bro

huku mwanza kuna makampuni ma3 yanayodili na usambazi wa chanel tv ktk mfumo wa cable.. Huduma yake ni Tsh 13,000 kwa mwezi napata kuona ligi zote kubwa live bila chenga. Kama upo dar kuna kampuni inaitwa barmedas ya mwanza hivi karibuni wamesema tayari wapo dar. Jaribu kuwachek labda watakua washaanza kazi huko.
 
Back
Top Bottom