Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Bein sport wanarusha wale watu wa huduma ya cable....mfano Barmedas tv mwanza,,mwanza cable tv,,shashi tabora.....yani kilaa mechi unayoiona Supersport hao Bein wanaonesha......wapo vizuri saana sema kwa Dar itakua rahisi kukamatwa sababu wanakua na.maofisi kweny miji mikubwa,,huduma ya cable inapatikana saana Mikoani....
Kumbe wanafanya illegal mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo Bt sport ndio dawa yao
Mimi naikamua kama sina akili nzuri
IMG_20190130_233418.jpeg
IMG_20190130_233359.jpeg
IMG_20190130_233356.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom