Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,445
Kwa wale watu wa michezo hasa soka nadhani wanajua vituo hivi vya tv nguli vya michezo superspot ya south Afrika na bein sports ya Qatar. Sasa kipi bora katika uchambuzi wa michezo na hata matangazo yake?
 
Iyo Bein inapatikana kwenye king'amuzi gani wakuu
 
Mkuu usijali, tusaidie kama dsm ving'amuzi vyake vinapatikana

Najua decoder zake zinaitwa HUMAX lakini sijui kama hupatikanaji wake kwa Tanzania ni halali kwani Be in Sports (Aljazeera Sports) wanaruhusiwa kurusha matangazo North Africa na Middle East tu. Kuna jamaa yangu anakamata Be in Sports nitamuuliza anatumia ujanja gani.

Tiba
 
tunasubiria feedback mkuu.
 
Back
Top Bottom