Liyambange
Member
- Jul 16, 2024
- 33
- 43
Unajuaje kama mtoa mada ndo banker mwenyewe?So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao
Ukiambiwa na wewe jiambie mimi siamini kama kuna benki wanauwezo wa kutoa mkopo wa 80B kwa dhamana gani na ni mrejesho wa miaka mingapi 80B faida yake si chini ya 10B kama si zaidi .Broo au umekusidia 80M na sio 80B c mchezoo hebu tuweke sawa naona kdg umeteleza.Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Issue iko pale pale ndugu loan oficer,lazima utafunguliwa mashtaka ya kutoa taarifa za mteja njeWewe ni mpumbavu fulani hivi, badala ya kuichukulia kama game changer/catalyst ya kukufanya uzinduke kwenye mawazo mgando, wewe unajifanya kichwa ngumu. Hakika wewe ndio mfano hai wa ngozi nyeusi
Au alikuwa anatakatisha kitu flan hiv?Kuna benki inakopesha bln 80 bila kuwa na collateral security? Huyo pesa na assets kwenye familia zipo tayari. Alikopa tu kuendeleza miradi iliyokuwa tayari imeanzishwa
Huyu mtoa thread hii ni inspirational speaker tu au influensa kama wanavyopenda kujiita. Hadithi ya kutungaDeni la B80! kalifuta ? Age 30yrs ? Kama n real : Inavutia.
Kuondoa ukakasi
Nadhani Ungeshusha details zaidi Hilo deni lina mda gani na anapush biashara gani
Ukishindwa huu Uzi ni chai pro maximum
elfu 20 nyingi mno, mtu ana kula mgahawani kwako deni elfu 2.Elfu 20 mnazima data
Hata njia mnabadili
Endeleeni kututapeli tu ndio mtajua umasikini ni laana 😄
kuhusu kuoa, discipline of living style, nakubali hivyo.Wahind Wana mambo mengi sana nyuma ya pazia ila kiukweli sio wahuni ,Huwa wanaoa mapema,wapo disciplined na Hela,wanavaa simple.mademu wao wanavaa kawaida sana,huwezi kukuta kasuka nywele za laki
Eqe jobless pro max acha ubishi, namjua dogo 1 ni same age na Mimi.Upo wapi wewe 🤔ukute huko kwa shemeji yako unakuna tu pumbu mnapiga story za vijiweni 🥶unakula na kashata za ukwaju
Hiyo mbona ipo sanaelfu 20 nyingi mno, mtu ana kula mgahawani kwako deni elfu 2.
ana badili njia mpaka style ya kunyoa😂😆
hapo aki waza ana sema ume mroga😂🤣Hiyo mbona ipo sana
Kuna dogo alinichukua brake cable ya buku 2 akasema nabeba mteja nakuletea daa
Akipita mbele ya duka anaongeza mafuta macho mbele
Sasa hata ile pikipiki hana karudi Alif
Sio ivyo,ukipata mktaba wa ujenzi wa kitu Chochote mfano ,kwani huwezi kuwa unakopa unajenga ukilipwa unalipa deni wewe unakata chako,mikopo inatofautiana usikariri kolatero asetiKuna benki inakopesha bln 80 bila kuwa na collateral security? Huyo pesa na assets kwenye familia zipo tayari. Alikopa tu kuendeleza miradi iliyokuwa tayari imeanzishwa
Wenzetu wanaandaliwa toka wakiwa wadogo, niko na jamaa yangu mzungu shuleni kwa mtoto wake wanafundishwa kuhusu saving na mambo mengine mengi ambayo mtu wa 25 years ndio anaanza huyajifunza umri huoNi kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Kuna mwanangu Mmoja Nina mdai 36,000/= tangu mwaka 2023 July, ana zaidi ya mwaka hapokei simu yangu..Elfu 20 mnazima data
Hata njia mnabadili
Endeleeni kututapeli tu ndio mtajua umasikini ni laana 😄
Hili uko sahihi, japo kwetu Pali kuwa ni standard ya kawaida.Wenzetu wanaandaliwa toka wakiwa wadogo, niko na jamaa yangu mzungu shuleni kwa mtoto wake wanafundishwa kuhusu saving na mambo mengine mengi ambayo mtu wa 25 years ndio anaanza huyajifunza umri huo
Sasa imagine wewe una 25 ndio umepata kazi na ndio hapo unaanza kujifunza kuhusu uhufadhi wa fedha, hadi uje u uwelewe mfumo huu unavyokwenda na kukusaidia katika kazi zako itachukua muda.
Kila siku kila safari katika maisha ni life lessons, huwa tunajifunza kwa yale tulioyapitia, na katika kujifunza ni lazima mtu afeli ili ajue alifeli wapi na hapo ndio ufaulu ulipo.Hili uko sahihi, japo kwenu Pali kuwa ni standard ya kawaida.
Ila nime lazimishwa kuanza hustling nikiwa 14, 18 hapo ndo mjomba aka niijia kwetu.
Tuka enda kupiga na kuji funza kazi, haikuwa rahisi ila naji vunia hiyo safari.
Muibukie kwake na wadau Kama wa3, lazima akulipe kwa wenge😂🤣Kuna mwanangu Mmoja Nina mdai 36,000/= tangu mwaka 2023 July, ana zaidi ya mwaka hapokei simu yangu..
Yaani hata juzi hapa nimempigia hili nimtakie tu heri ya mwaka mpya hajapokea simu yangu, Huwa namshangaa sana.