Yaani acha tu mzee, tulikuwa na mipango KIBAO kuhusu life na yeye ndio alikuwa mastermind wa idea, mpaka leo Huwa siaminigi kama Hela ndogo hivyo ndio imemshushia heshima yake kwangu.Anazingua angekwambia tu nimekwama mbona hela ndogo tu, mngeweza kufanya makubwa zaidi
😅😅😅Upo wapi wewe 🤔ukute huko kwa shemeji yako unakuna tu pumbu mnapiga story za vijiweni 🥶unakula na kashata za ukwaju
Haha uzuri wake huyo mteja hata hajatajwa jina wala bank husika. Au labda kama ni wewe na hata huko maakamani sijui utashinda kwa ground gani wakati msingi wa shauri lenyewe huna😆😆So huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao
Kama unacho nakiomba Kaka ,mwaka huu mpaka niwe tajiriSoma kitabu cha safari yangu kutoka Bukene cha Andy Chande.Kilishawahi kuwekwa humu hao mafala wana family support system sio ya dunia hii. Sisi Miswahili tunapwaya kwenye hao.Na wao kuna mahayawani chungu nzima lakini wanabebana .
😂😂 Alikuwa ananyoa brush kisa kudaiwa anatia para la kwenda ili usumtambue dahelfu 20 nyingi mno, mtu ana kula mgahawani kwako deni elfu 2.
ana badili njia mpaka style ya kunyoa😂😆
nili mshika siku 1, nika mwambia we mshamba tu😂🤣😂😂 Alikuwa ananyoa brush kisa kudaiwa anatia para la kwenda ili usumtambue dah
Alikukopa wewe hizo Bilioni 80 au? 😆😆Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Bora hamkwenda nje ya nchi maana watu wa hivyo hawakawii kukuuza kwa euro kwenye mashamba ya wazungu huko njeBoss jamaa alinikopesha 100,000/= Kwa makubaliano baada ya wiki mbili atanirudishia pesa yangu...ila ilimchukua mwezi mzima kunirejeshea, ambapo na penyewe alinirushia kwenye simu 65,000/=(nikatoa buku ya makato) akaniambia nyingine iliyobaki atanipa kesho yake.
Hiyo kesho yake ndio zikaanza kalenda nyingi mpaka akafikia hatua ya kutopokea simu.
Lakini Pamoja na njaa zangu, kuhusu deni nilisha samehe muda sana ila yeye ndio Bado anajishtukia, yes alikuwa ni mwanangu mno na tulikuwa na mipango mingi na yeye ikiwemo kwenda nje ya nchi...!! Huwa naskitika sana kila nikimkumbuka.
😂😂nili mshika siku 1, nika mwambia we mshana tu😂🤣
Hana ethics na hazingatiiSo huyo banker anatoa siri za wateja?.! Wajiande kuingizwa mahakamani na kudaiwa fidia ya kutoa siri za biashara za mteja wao
huyo ni supplier lakini una mtreat kama debtor wako...we uhasibu umepiga chenga...Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana.
Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni 80, kafanya investments zake kwenye rasilimali tele nchi hii ilizobarikiwa, hivi karibu kamaliza marejesho yake, Hakuna mambo ya kuzima simu wala kukimbizana kwenye marejesho.
Kilichonistusha ni Guts / uthubutu wa kuchukua hicho kiasi kikubwa maana ni risk kubwa sana unaweza kufilisiwa assets zote mambo yakiyumba ndio maana watu wengi wana assets lakini wanaogopa mikopo, pia kulipa marejesho kikamilifu inaonesha kulikuwa na mpango kazi planning za kutosha sana kwenye uwekezaji
Wabongo wengi madeni ya biashara milioni 1, 10, 100 mpaka Bilioni, na hapo kuna kuzima sana simu, kukimbizana, n.k. tutafika kweli ?
naona bado tupo nyuma mno na hii inasababishwa na one man army baba akifariki muvi imeisha, kukosa connections za nje, kukosa uaminifu, n.k.
Mwaka mmoja na wewe 2023 nimempa mtu 100k ana shida kipindi hiko boom limeisha mpaka warudi likizo.... Mpaka Leo nishachoka kudai...Mpuuzi yule pale kwake nilipokuwa napafahamu Mimi alishahama, alishindwa Kodi... Na huko alipo hamia sipajui.
Hata deni nimeamua kuachana nalo tu baada ya kumuona ni mjinga.
Imagine mtu mmekuwa marafiki tangu mkiwa form two halafu leo hii urafiki wenu unakuja kuvunjwa na 36,000/=?
Sio ivyo,ukipata mktaba wa ujenzi wa kitu Chochote mfano ,kwani huwezi kuwa unakopa unajenga ukilipwa unalipa deni wewe unakata chako,mikopo inatofautiana usikariri kolatero aseti
POa poa bana mie hayo madude sijayasomea so siyajui in depthHuo mradi ni dhamana elewa maana ya collateral security
Kukopa sio kitu kirahisi kama unavyodhani,
Watu wengi sana wana assets kibao lakini wanakaa mbali na mikopo,
NI MKOPO SIO ZAWADI