Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

Kwa kuwa unatumia fedha zako kula, we jenga shavu.

Mimi nina addiction ya tambi mbichi. Natafuna kile kipakti kimoja cha Santa Lucia ndani ya siku mbili.
Lakini naenjoy.
Mkuu unapata choo kawaida?
Nahisi ngoma inaziba choo, ukikata gogo lazima ulie au ujishikie kwenye kitu chochote.
 
Hebu acha ujinga. Kuna siku utasema chakula kinakumalozia fedha. Hii 60,000 ni hela natumia siku moja kwenye bia na washkaji.
 
Hebu acha ujinga. Kuna siku utasema chakula kinakumalozia fedha. Hii 60,000 ni hela natumia siku moja kwenye bia na washkaji.
Kwenye pweza ni unneccesary mbna kula nikiwa nimejaa natumia 20k kwa siku
 
Chakula kwaajili ya tumbo lako gharama yake haiwezi kukufilisi labda kama hicho chakula kina madhara kwako, maana hiyo siyo pombe wala kilevi chochote ni chakula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…