Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

Chakula kwaajili ya tumbo lako gharama yake haiwezi kukufilisi labda kama hicho chakula kina madhara kwako, maana hiyo siyo pombe wala kilevi chochote ni chakula tu
Shida ni kwamba ukisoma money rules tumia hela ikiwa kama kuna umuhimu sasa pweza hazina hata umuhimu
 
Kwanza hakuna supu inamambo mengi kama soup ya pweza hapa vitunguu, mara limao, hapa kuna ukwaju, huku kuna sijui nini ili mchuzi uende vizuri basi kachori lazima zihusike.........we acha tu hela ziishe
 
Bila kitunguu hainogi yaani
 
Back
Top Bottom