Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Huyo ni ww, wengine wanayapenda kwao yanataste nzuriKatika Moja ya madude ya ajabu watu wa dar wanayokula ndio hayo masupu ambayo ni testless na yenye pungent irritating smell pamoja na madude mengine ya ajabu ya baharini sawa na makono kono ya nchi kavu, kaa na nge wanayokula nyakati za jioni. Nikiyajaribu natapika hadi utumbo