Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
till somebody bow down...!!How long does the silly season last?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
till somebody bow down...!!How long does the silly season last?
Soudy Brown anazidi kupaishwa, ni nini utaongea kuhusu soudy brown ukawa umemponda?? Vyeti?? Kuzalisha?? Umaskini kwao??Sudi brown amechokoza nyuki pamoja na clouds fm
Haki ya Mung nawaambia amuombe tu msamaha gwajima ama mange mana mange anavua watu nguo kesho mchana kweupe listi imetajwa hapo inatisha jaman
tumetaka vyeti vya form four unatuletea kadi ya klinikiHii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
ficha ujinga wako hapa sasa huyu ni celebrity?Jukwaa la celebrities hupendi umetafuta nini huku sasa?
Duh kumbeSoudy Brown anazidi kupaishwa, ni nini utaongea kuhusu soudy brown ukawa umemponda?? Vyeti?? Kuzalisha?? Umaskini kwao??
Kiufupi, hamna! Dawa ilikuwa kumpotezea ila chochote utakachoenda ongea juu yake kwake ni poa tu unampa zaidi airtime zaidi. Vituko ndo cv yake!
Word.[emoji106]Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Binafs nasubiri kesho nisome watu wakivuliwa nguo hadharani na mange
Huyu dada binafs nmemuogopa aise
Sudi ameshika pabaya ...kesho huku gwajima kule.mange
Vitu vitakua exposed out
Maneno yako hayanitingishi kashifu unavowezaKama ww wa kiume basi na ww utakuwa kama wao....unashabikia kitu cha kusikia tu?
Mimi hapaKwan kuna amabae alikua hamjui
Nafkir sasa umeshamjuaMimi hapa
Sasa kwanini uli-comment angali ukijua kuna wengine hawamjui huyo mtangazajiNafkir sasa umeshamjua
Haa ha 😀 😀 😀 😀 😀Sasa kwanini uli-comment angali ukijua kuna wengine hawamjui huyo mtangazaji