Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Sudi brown amechokoza nyuki pamoja na clouds fm
Haki ya Mung nawaambia amuombe tu msamaha gwajima ama mange mana mange anavua watu nguo kesho mchana kweupe listi imetajwa hapo inatisha jaman
Soudy Brown anazidi kupaishwa, ni nini utaongea kuhusu soudy brown ukawa umemponda?? Vyeti?? Kuzalisha?? Umaskini kwao??
Kiufupi, hamna! Dawa ilikuwa kumpotezea ila chochote utakachoenda ongea juu yake kwake ni poa tu unampa zaidi airtime zaidi. Vituko ndo cv yake!
 
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
tumetaka vyeti vya form four unatuletea kadi ya kliniki
 
Soudy Brown anazidi kupaishwa, ni nini utaongea kuhusu soudy brown ukawa umemponda?? Vyeti?? Kuzalisha?? Umaskini kwao??
Kiufupi, hamna! Dawa ilikuwa kumpotezea ila chochote utakachoenda ongea juu yake kwake ni poa tu unampa zaidi airtime zaidi. Vituko ndo cv yake!
Duh kumbe
bas sawa ngoja sie watazamaji na waangaliaji tuendelee kujua na mengine ya siri na dark side za watu wengine. Naamin huko anajiskia fresh kabisa kuanikwa hadharani
 
Hii nchi imekua ni ya hovyo sana vijana wanahangamia kwa ukosefu wa maarifa yaani Mange ndie amekua mtu wa kuchagua nani afanye na nani asifanye anataka kuogopwa na kwa ugumu wa maisha wa vijana ndio sehemu yao ya kuondolea stress kuchamba watu waliowazidi vipato na elimu.
Ni muda sasa muafaka wa Mh Rais kuruhusu vijana wake wanyooshe nchi hatuwezi kuishi kama kambale hatujui nani mkubwa nani mdogo,nani kiongozi na nani mfuasi sidhani kama Serikali inashindwa kufanya jambo huu ni ujinga wa kiwango cha lami watu wanaamini kauli za Instagram.
Word.[emoji106]
 
Binafs nasubiri kesho nisome watu wakivuliwa nguo hadharani na mange
Huyu dada binafs nmemuogopa aise
Sudi ameshika pabaya ...kesho huku gwajima kule.mange
Vitu vitakua exposed out

Kama ww wa kiume basi na ww utakuwa kama wao....unashabikia kitu cha kusikia tu?
 
Kama ww wa kiume basi na ww utakuwa kama wao....unashabikia kitu cha kusikia tu?
Maneno yako hayanitingishi kashifu unavoweza
mmejiona kwenye video live camera footage mkivamia ofisi za watu na silaha za kivita yote hio kulinda maslah yenu mabovu....
 
Wanaume Dar es salaam du...!
Hatar hii aseee[emoji44][emoji36][emoji36]
 
Kama kweli.bashite kafanya haya..basi Kweli Zero... Inafanya manyanga!!! HV kwnn anaekt mtumishi au mlokole? Kwnn asiishi kama wanaume halisi,kwnn makanisa na miskit hukbali hyu atumie microfone zao madhabahuni???
 
clouds ili wasiumbuliwe na mange imebidi warushe video clip ya makonda kudadadekii

hahahaaaaaaa...kumbe mwaogopa eeehhh!!!!
ruge na kusaga Leo mngewekwa hadharani mauchafu yenu yote ya mjini hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom