hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
[emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mkuu!!Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mkuu!!Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
habari za watu Kama hawa hazina afya kwa jamii sababu hazina mafunzo mema Bali huhamasisha uhalifu ntakupa mfano Wa mtu Kama ELCHAPO GUZMAN wao wanamuita mungu Wa madawa ,kilicho muhamasisha kujiingiza katika masuala hayo alikiri kuwa ni pamoja na kutizama picha nyingi za kihalifu na pia kusoma historia za PABLO ESCOBAR ,Nadhani umepata jambo
Duh ! . He was really a dick
Huyo Jombi alifanyia wapi shughuli zake?
hivi Jombi yupo wapi siku hiziHao wote walikua sisimizi kwa jombi
Ndo yule alikamwata kweny mto upo karibu na meta secondary [emoji134]Abel hakuwa jambazi, alikuwa kibaka tu ,ndiyo maana likamatwa kiboya sana akiwa amejificha pembeni ya mto..
Nahisi hujawahi kusikia taarifa za Nyokaa alieuawa Sakina Bar miaka hiyoMnyori Arusha mwaka 1972 akaja uwawa na polisi
Nyokaa alifanya mambo makubwa alikufa na jina kubwa ata miaka 20 akufikaNahisi hujawahi kusikia taarifa za Nyokaa alieuawa Sakina Bar miaka hiyo
Tuelezee basi kuhusu Nyokaa......Nahisi hujawahi kusikia taarifa za Nyokaa alieuawa Sakina Bar miaka hiyo
Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
Duh, JF Kuna mpaka mababu zetuKuna jambazi alikuaga mbeya anaitwa kipara tako, mwaka wa 1978 alisumbua jeshi sio mchezo
Aiseee!Hawa majambazi wote mmewataja hakuna aliyefikia hata robo ya jambazi la kijani,tangu 77 mpaka Leo linatesa tu
Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya