Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
dah!
Nyumba na viwanja kuuzwa kenya?
alikuwa anabebaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
Kubababaakeee huyu Ni mnoma [emoji848]Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
hajawahi tokeaga kama huyo chuga nzimaNahisi hujawahi kusikia taarifa za Nyokaa alieuawa Sakina Bar miaka hiyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huyu hakuna wa kumfikia dunia nzima.Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya
Mkuu hakuna kitu kisichokuwa na afya kwa wenzetu watu Kama hao huwa andikwa katika vitabu Aina zao za wiz na kuvunja kwa mambo ya kiusalama Zaid na kujifunza tactical nying kwa watu wa usalamahabari za watu Kama hawa hazina afya kwa jamii sababu hazina mafunzo mema Bali huhamasisha uhalifu ntakupa mfano Wa mtu Kama ELCHAPO GUZMAN wao wanamuita mungu Wa madawa ,kilicho muhamasisha kujiingiza katika masuala hayo alikiri kuwa ni pamoja na kutizama picha nyingi za kihalifu na pia kusoma historia za PABLO ESCOBAR ,Nadhani umepata jambo
Kwa hiyo unataka kusema hata serikali ya magu imemshindwa huyo jamaa?Hao wote mliowaongelea hawafui Safi kwa jambazi mmoja anaitwa Malaika jiwe kutoka chato. Huyu anawanyoosha Tanzania nzima sasa hivi na hakuna wa kumgusa
Hata serikali ya magu imemshindwa huyo jamaa?Hawa majambazi wote mmewataja hakuna aliyefikia hata robo ya jambazi la kijani,tangu 77 mpaka Leo linatesa tu
Tumshukuru Mola miaka hii mbabe mmoja JPM.... Sijui zamani Askari walifanyaje mtu anafanya zaidi ya matukio 20 na anajulikana.
Kuna Bella ciao ..huyu alitamba miaka ya 1990 uko Arusha, alikuwa anaiba Nyumba na viwanja anaenda kuuza kenya