Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Napenda sana habari za hawa manguli wa ma-cocain. ELCHAPO (mwanzilishi wa cocain pure) na ESCOBA.habari za watu Kama hawa hazina afya kwa jamii sababu hazina mafunzo mema Bali huhamasisha uhalifu ntakupa mfano Wa mtu Kama ELCHAPO GUZMAN wao wanamuita mungu Wa madawa ,kilicho muhamasisha kujiingiza katika masuala hayo alikiri kuwa ni pamoja na kutizama picha nyingi za kihalifu na pia kusoma historia za PABLO ESCOBAR ,Nadhani umepata jambo
Sent using Jamii Forums mobile app