Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.

1658176743243.png
 
Huyu anaonekana mbinafsi sana kama Chama flani nchi ya Asali.
 
Njaa kali, anasubiri salary kutoka Brussels na Washington.
 
Anaonekana kabisa nyongo imejaa sana, japo hana la kufanya!! Akipata upenyo ananyonga mtu!
 
Mwanadamu akiamua kuwa na roho mbaya anatisha kuliko simba!!
 
Unajua watu wa Ukraine ni aina ya watu wanaoshabikia ubabe na ukatili. Mpaka leo Hitler ana mashabiki lukuki huko ukraine. Ila ni watu wanaoipenda sana nchi yao na wako tayari kufa kwa ajili ya nchi yao! wanaitwa NATIONALISTS au wafia nchi!! Putin anawabonda sana lakini wamo tu!! Ingekuwa siyo ro ya ufia nchi wangeshasalimu amri siku nyingi!
 
Back
Top Bottom