Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Wizara ya Elimy ifanye study tour japan na kuchek mitaala yao ili kuchukua vizuri na kuviongeza huku kwetu
Hasa maadili na kufany kazi kwa bidii
 
Kwamba unakubali Mungu yupo ila amekosa sifa fulani ambazo zikiwepo zinamfanya awe contradicted na huu ulimwengu?

Unataka kutoa contradiction kwa kupunguza sifa za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ili kuweka balance?
 
halafu majina yao yanatamkika kwa kiswahili NAKAMOTO,SUZUKI etc
 
Wizara ya Elimy ifanye study tour japan na kuchek mitaala yao ili kuchukua vizuri na kuviongeza huku kwetu
Hasa maadili na kufany kazi kwa bidii
Nadhani ni korea ile, katika kuzingatia mwanafunzi analala masaa nane basi hadi muda wa kwenda shule umesogezwa kidogo tofauti na huku mtoto anaamka saa kumi na moja ili awahi saa moja awe ameshafika shule. Sasa ukiangalia masaa anayolala ni machache hayafiki masaa 8.
 
Kwamba unakubali Mungu yupo ila amekosa sifa fulani ambazo zikiwepo zinamfanya awe contradicted na huu ulimwengu?

Unataka kutoa cintradiction kwa kupunguza sifa za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ili kuweka balance?
Kwani Mungu ana sifa za ujuzi wote na upendo wote tu mbona sifa zengine hazitajwi kwenye kuzungumzia hiyo contradiction?
 
Vip kuhusu IQ, maana iq za waafrika ni tia maji tia maji.
 
Jamaa haelezi kwa nini Mungu hayupo matokeo yake anaeleza kuhusu contradiction kwenye maelezo yamuhusuyo Mungu, kitu ambacho hakitoa jibu la kwamba hakuna Mungu.
Haelewi kwamba maelezo yenye contradictions yanaweza kupatikana hata kwa kitu ambacho anakiona mwenyewe kwa macho yake.
 
Wewe guluguja hujui kusoma kwa ufahamu.

Nikikwambia nimesoma Philosophy of Religion, unasoma nimesoma field moja.

Ndiyo maana hatuelewani.

Hujui hata kusoma kwa ufahamu.

Tutaelewana vipi?
Mbona kama usha panick.
 
Nchi pekee ukidondosha wallet yako yenye pesa nyingi na vitambulisho una uhakika wa kuvipata kwa 98%
 
Kwani Mungu ana sifa za ujuzi wote na upendo wote tu mbona sifa zengine hazitajwi kwenye kuzungumzia hiyo contradiction?
Hizi ni sifa kubwa ambazo zinaonesha errors kwenye uhusiano wa yeye na dhana nzima ya kuumba ulimwengu huu
 
Miye siamini Mungu wa dini iwayo yoyote ile

Iwe wa magharibi au mashariki
Nadhani la msingi ni kuamini kilicho sahihi na sio kushikilia kwamba hauamini Mungu wa hizo dini kana kwamba kwa kitendo cha kuamini Mungu asiye katika hizi dini ndio moja kwa moja upo sahihi, mitazamo hiyo ndio wanayo wakana Mungu yani wao wanafikiri kusema hakuna Mungu ni jambo la mtu mwenye akili sana na kwamba huona msimamo wao huo wa kudai hakuna Mungu moja kwa moja wao ndio wako sahihi.
 
Thibitisha Mungu yupo. Hayo ya miaka 50 leo tutajuaje kwamba hunidanganyi?

Na unajuaje ndani ya miaka 50 nitakuwa nimekufa?
Ndani ya miaka 50, nina uhakika 100% hutakuwepo.
Kithibitisho ni msimamo wako, actually challenge Gods existence hata wiki ijayo kuwepo ni almanusura.
Endelea kumchallenge na utapata unacho stahili.
 
Africa nashindwa kuelewa kwa nini viongozi na serikali hazina mipango na namna yeyote ile kumfanya mtu mweusii awe na thamani, asibaguliwe awe juu Kama watu weupe na zaidi.

Wayahudi waliteswa na ubaguzi wakaona huu ni ushenzi, wamepambana mpaka leo hii wanaheshimika. Wapo mbali kwenye tech, kijeshi na wapo mbali kwa mambo mengi sana na wanaogopwa.
 
Hizi ni sifa kubwa ambazo zinaonesha errors kwenye uhusiano wa yeye na dhana nzima ya kuumba ulimwengu huu
Sema mnazungumzia hilo suala(dhana) la Mungu kuumba ulimwengu na si dhana ya uwepo wa huyo Mungu.

Sasa madai ya contradiction yamejielekeza kwenye dhana ya Mungu kuumba ulimwengu kitu ambacho kama kweli kungepatikana hiyo contradiction kweli basi ingeleta maana au mashaka ya huu ulimwengu kuwa umeumbwa na huyo Mungu au kwamba kuna sifa si ya kweli kwa huyu Mungu anayedaiwa ameumba huu ulimwengu.

Ila cha ajabu mnakuja na hitimisho la kuwa huyo Mungu hayupo.
 
Ni kweli Mungu mwenye sifa hizo hawezi kuwepo labda kama utataka kumpunguzia hizo sifa (ambapo hatakuwa tofauti na sisi) ili aweze ku fit kwenye dhana ya
 
Ushawahi kusikia kuhusu Russel’s Teapot?

Chupa ndogo ya chai isiyoonekana wala kuwa detected na kifaa chochote chupa hiyo unaambiwa kuwa inazunguka katikati ya jua na mwezi

Umepewa habari kama hiyo na kusisitizwa kuwa chupa hiyo ipo lakini tayari ukiangalia maelezo umeona kuna contradiction errors inayoonesha walakini wa hiyo habari

Utajiuliza kama hakionekani, hakithibitishiki kwa namna yeyote imewezekanaje kujua kua kina orbit kwenye jua?

Jua lina nyuzi joto kubwa sana imekuwaje chupa hiyo ika survive bila kuungua?

Utasema hiyo habari ni kweli kuwa chupa hiyo ipo ila sifa za hiyo chupa tu ndio zimekosewa?

Kama utasema hivyo basi utakuwa unaongelea kitu kingine ambacho hujaambiwa, maana ukamilifu wa hiyo habari ni pamoja na sifa zote kama ambavyo umeambiwa

Ukitaka kutoa contradictio kwa kupunguza sifa za hiyo chupa ili kufanya habari iwe kweli automatically utakuwa unaelezea kitu kingine

Hivyo ndio ilivyo ukitaka kutoa contradiction kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kwa kupunguza sifa zake utajikuta unaongelea kitu kingine chenye udhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…