Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu hakuna MTU atakuthibitishia uwepo wa Mungu. Utathibitisha mwenyewe siku za uhai wako,kabla hujafa utaamini tu Mungu yupo.
Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.
Nitathibitisha au nitaamini?
Unaelewa viwili hivi ni tofauti?
Unaweza kuthibitisha kwamba nitathibitisha?