Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Naona Agent wa shetani kavamia uzi kama kawaida yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge moja la drama lile, ile ndio maana ya mzazi kuwekeza kwenye elimu ya mtoto.Fuatilia tamthilia ya kikorea inaitwa Skycastle ndio utajionea mwenyewe.
Kwamba unakubali Mungu yupo ila amekosa sifa fulani ambazo zikiwepo zinamfanya awe contradicted na huu ulimwengu?Kiakili tu kutokuwepo kwa pembe tatu ambayo ni duara kwa wwkati mmpja hiyo inathibitisha kwamba kuna pembe tatu na kuna duara.
Sasa kutokuwepo kwa pembetatu duara haithibitishi kwamba pembetatu haipo na wala haithibitishi kwamba duara haipo.
Mfano wako unakosa maana kwa sababu unataka kuonesha kana kwamba kwa upande wa Mungu hakuna pembe tatu wala hakuna duara jambo ambalo sio sahihi.
Katika mfano wa pembetatu duara ni mfano ambao hauendi sambamba na Mungu.
Unachukua mifano ambayo haiendani na uhalisia wa mada,kisha unailazimisha iendane na uhalisia wa mada jambo ambalo ni utata mtupu.
Tukichukua mifano yako tunaona kwmba pembetatu ipo na duara ipo ila kisichokuepo ni kwamba pembetatu duara.
Sasa kwa Mungu kilichokuepo ni Mungu(pembetatu na duara) na hizo contradiction(pembetatu duara) hazipo.
Nadhani ni korea ile, katika kuzingatia mwanafunzi analala masaa nane basi hadi muda wa kwenda shule umesogezwa kidogo tofauti na huku mtoto anaamka saa kumi na moja ili awahi saa moja awe ameshafika shule. Sasa ukiangalia masaa anayolala ni machache hayafiki masaa 8.Wizara ya Elimy ifanye study tour japan na kuchek mitaala yao ili kuchukua vizuri na kuviongeza huku kwetu
Hasa maadili na kufany kazi kwa bidii
Kwani Mungu ana sifa za ujuzi wote na upendo wote tu mbona sifa zengine hazitajwi kwenye kuzungumzia hiyo contradiction?Kwamba unakubali Mungu yupo ila amekosa sifa fulani ambazo zikiwepo zinamfanya awe contradicted na huu ulimwengu?
Unataka kutoa cintradiction kwa kupunguza sifa za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ili kuweka balance?
Vip kuhusu IQ, maana iq za waafrika ni tia maji tia maji.Wajanja sana sura ya karai. Wananchi fanya sasa ni kuchukua vijana wa kiafrika na kuwapa ajira na mikataba ya kuishi kwao kwa muda mrefu, lengo ni kuchanganya damu ilio moto. Wanajua wazi damu moto ikichachamaa huanzia watoto 3 na zaidi, huo mwaka ulio sema elewa kutakuwa na machotara wengi na maliasili watu itazidi.
Jamaa haelezi kwa nini Mungu hayupo matokeo yake anaeleza kuhusu contradiction kwenye maelezo yamuhusuyo Mungu, kitu ambacho hakitoa jibu la kwamba hakuna Mungu.We Dogo unatatizo, Una hoji ikiwa gari ilikuwa na matairi imara wakati USHASEMA ajari haipo.hayo yaache yahojiwe na wanao kubali uwepo wa ajari si wewe uliekataa kuwa hakuna ajari.
Uwezi pinga kuwa hakuna ajari then wewe huyo huyo unaanza kuuliza ikiwa gari lilikaguliwa kabla ya safari huo ni ujinga.
Hizo unazoziita controditions acha zihojiwe na wanao amini uwepo wa ajari na si wewe.
Mbona kama usha panick.Wewe guluguja hujui kusoma kwa ufahamu.
Nikikwambia nimesoma Philosophy of Religion, unasoma nimesoma field moja.
Ndiyo maana hatuelewani.
Hujui hata kusoma kwa ufahamu.
Tutaelewana vipi?
SamahaniLigi imeishaje!? Kiranga vs. Wajapan!?
Miye siamini Mungu wa dini iwayo yoyote ileHata huyo unayemuamini wewe sasa hivi kuna watu wanasema hayupo vilevile.
Hizi ni sifa kubwa ambazo zinaonesha errors kwenye uhusiano wa yeye na dhana nzima ya kuumba ulimwengu huuKwani Mungu ana sifa za ujuzi wote na upendo wote tu mbona sifa zengine hazitajwi kwenye kuzungumzia hiyo contradiction?
Nadhani la msingi ni kuamini kilicho sahihi na sio kushikilia kwamba hauamini Mungu wa hizo dini kana kwamba kwa kitendo cha kuamini Mungu asiye katika hizi dini ndio moja kwa moja upo sahihi, mitazamo hiyo ndio wanayo wakana Mungu yani wao wanafikiri kusema hakuna Mungu ni jambo la mtu mwenye akili sana na kwamba huona msimamo wao huo wa kudai hakuna Mungu moja kwa moja wao ndio wako sahihi.Miye siamini Mungu wa dini iwayo yoyote ile
Iwe wa magharibi au mashariki
Ndani ya miaka 50, nina uhakika 100% hutakuwepo.Thibitisha Mungu yupo. Hayo ya miaka 50 leo tutajuaje kwamba hunidanganyi?
Na unajuaje ndani ya miaka 50 nitakuwa nimekufa?
Africa nashindwa kuelewa kwa nini viongozi na serikali hazina mipango na namna yeyote ile kumfanya mtu mweusii awe na thamani, asibaguliwe awe juu Kama watu weupe na zaidi.Kuna post moja facebook ya mark zuckerberg alikuwa ameweka picha yake kipindi cha christmas.
Then akatokea mkenya mmoja hivi mweusi yaani ile black kabisa kama walivyo wakenya, yule jamaa akaweka picha yake na akaandika merry christmas from kenya.
Sababu ile post ni ya zuckerberg mwenyewe means watu wote wanaona kilichofuata ni huruma sababu walitokea hao wa Asia wakaanza kumtukana yule jamaa mpaka basi kisa ni mweusi.
Wengine walikuwa wanamwita orangutan yale manyani makubwa hivi na matusi mengine kibao.
Mara lips zake zimefanyaje mara mweusi kama asphalt ile lami nyeusi kabisa, mara wengine wanamwita BBC ila matusi ya kumfananisha na nyani ndio yalikuwa mengi.
Cha ajabu nilichokiona ni comment zote zilikuwa zinamshambulia jamaa hakuna exceptional hata moja, yaani hawa waasia wanatabia na akili kama za wadudu zero sympathy zero emotional intelligence walikuwa wanamchukulia jamaa kama sokwe tu asiye na vigezo vya binadamu.
Jamaa nakumbuka alisema asante kwa matusi yenu na kutiatia huruma tu, kusema ukweli nilijisikia vibaya kuona mwafrika anafanyiwa vile.
Baadae wakenya wenzake wakamwambia afute ile picha lakini hakufanya hivyo.
Hawa mnawaita wana roho njema na kuwasifia lakini kwao mtu mweusi wanamwona nyani tu.
Katika watu wabaguzi kwa waafrika ni waasia, kwangu ni mbwa kama mbwa wengine tu.
Sema mnazungumzia hilo suala(dhana) la Mungu kuumba ulimwengu na si dhana ya uwepo wa huyo Mungu.Hizi ni sifa kubwa ambazo zinaonesha errors kwenye uhusiano wa yeye na dhana nzima ya kuumba ulimwengu huu
Ni kweli Mungu mwenye sifa hizo hawezi kuwepo labda kama utataka kumpunguzia hizo sifa (ambapo hatakuwa tofauti na sisi) ili aweze ku fit kwenye dhana yaSema mnazungumzia hilo suala(dhana) la Mungu kuumba ulimwengu na si dhana ya uwepo wa huyo Mungu.
Sasa madai ya contradiction yamejielekeza kwenye dhana ya Mungu kuumba ulimwengu kitu ambacho kama kweli kungepatikana hiyo contradiction kweli basi ingeleta maana au mashaka ya huu ulimwengu kuwa umeumbwa na huyo Mungu au kwamba kuna sifa si ya kweli kwa huyu Mungu anayedaiwa ameumba huu ulimwengu.
Ila cha ajabu mnakuja na hitimisho la kuwa huyo Mungu hayupo.
Ushawahi kusikia kuhusu Russel’s Teapot?Sema mnazungumzia hilo suala(dhana) la Mungu kuumba ulimwengu na si dhana ya uwepo wa huyo Mungu.
Sasa madai ya contradiction yamejielekeza kwenye dhana ya Mungu kuumba ulimwengu kitu ambacho kama kweli kungepatikana hiyo contradiction kweli basi ingeleta maana au mashaka ya huu ulimwengu kuwa umeumbwa na huyo Mungu au kwamba kuna sifa si ya kweli kwa huyu Mungu anayedaiwa ameumba huu ulimwengu.
Ila cha ajabu mnakuja na hitimisho la kuwa huyo Mungu hayupo.