Sura yangu imesagika na kusawajika kwa kichapo cha mama mkwe

Sura yangu imesagika na kusawajika kwa kichapo cha mama mkwe

ID imekaa kidume dume na jinsi anavyochat humu sio kiromantic kama wanawake wengine na muda mwingi masihara na kauli ngumu. Akiwa mwanamke halafu pisi Kali nitashangaa sana.
Mie pisi kaliiiiii sema tu hili komwe ndio linaniharibia
 
Nimeolewa tangu mwaka juzi kaka yangu.
sasa kwa nn usingembinua huyo mama mke ukamnyonya mku...kisha ukampelekea moto hukohuko, we si ulisema una hogo, papuch na mkund...halafu kama ni uko hvo, hapo umeolewa au umeoa au mmeoana? mnapelekeana moto kwa zamu.
 
sasa kwa nn usingembinua huyo mama mke ukamnyonya mku...kisha ukampelekea moto hukohuko, we si ulisema una hogo, papuch na mkund...halafu kama ni uko hvo, hapo umeolewa au umeoa au mmeoana? mnapelekeana moto kwa zamu.
😂😂😂😂😂😂😂 hogo nilitoe wapi mimi mtoto wa kike! Alaaah!
 
Umepangiwa na mola wako mwaka 2024 uwe wa mwisho kuishi duniani na mama mkwe wako analitambua hilo usilaumu sana umepangiwa kutoweka duniani kupitia mama mkwe wako
 
Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.

Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote.

Furaha yangu ilibadilika na kugeuka machungu baada ya mume wangu kwenda masomoni nchini Uingereza kisha mama mkwe wangu kuhamia hapa nyumbani kwa amri ya mume wangu.

Leo nimerudi kutoka sokoni mama mkwe akanidaka, akanikwida, akanibamiza ngumi ya katafunua kwenye kidevu changu, nikapepesuka na kudondokea chogo. Alinitifua ngumi ya uhakika.

Mama mkwe wangu ni mwanajeshi mstaafu, ndio huyo nimemuweka kwenye DP yangu.

Ananishutumu nilitoka kwenda kufanya umalaya nje na kugawa tamu ya mwanawe kwa watu wengine.

Aliponitifua katafunua ya kidevu, akanirukia kwa juu akanikanyaga teke la kisigino, nilipiga yowe nikaanza kubwatuka hovyo kwa maumivu. Ama hakika mama mkwe ana unyayo mkali sana!

Uso wangu wote umesawajika, nimevurugika, sura yangu imeumuka, komwe limetoka nundu kwa juu kama upembe wa faru fausta.

Sijui nifanyeje jamani, nateseka, nahangaika kwenye ndoa yangu!
Huyo mkweo ni mtu mzima, lazima tuheshimu hisia na bashiri zake.

Aliona dalili zote na akaamua kuzifanyia kazi hisia zake, akapiga nawe ukalia, ngoma droo.

Lakini wewe ulifaidi mara mbili zaidi kwa kisa kimoja.

Nashauri yamalizeni na mkweo yasifike kwa mume na iwe siri yenu.
 
Back
Top Bottom