Sura yangu imesagika na kusawajika kwa kichapo cha mama mkwe

Kuna siku huwa unapandisha kichaa chako?Kwa hiyo mama mkwe wako akakufunda kisa kuhisi wivu kwamba umetukunyuliwa "tamu" ya mwanaye?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani nakwambiaaaa amenibamiza teke la unyayo sina hamu hata ya kula
 
ID imekaa kidume dume na jinsi anavyochat humu sio kiromantic kama wanawake wengine na muda mwingi masihara na kauli ngumu. Akiwa mwanamke halafu pisi Kali nitashangaa sana.
Mie pisi kaliiiiii sema tu hili komwe ndio linaniharibia
 
Nimeolewa tangu mwaka juzi kaka yangu.
sasa kwa nn usingembinua huyo mama mke ukamnyonya mku...kisha ukampelekea moto hukohuko, we si ulisema una hogo, papuch na mkund...halafu kama ni uko hvo, hapo umeolewa au umeoa au mmeoana? mnapelekeana moto kwa zamu.
 
sasa kwa nn usingembinua huyo mama mke ukamnyonya mku...kisha ukampelekea moto hukohuko, we si ulisema una hogo, papuch na mkund...halafu kama ni uko hvo, hapo umeolewa au umeoa au mmeoana? mnapelekeana moto kwa zamu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hogo nilitoe wapi mimi mtoto wa kike! Alaaah!
 
Umepangiwa na mola wako mwaka 2024 uwe wa mwisho kuishi duniani na mama mkwe wako analitambua hilo usilaumu sana umepangiwa kutoweka duniani kupitia mama mkwe wako
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mkweo ni mtu mzima, lazima tuheshimu hisia na bashiri zake.

Aliona dalili zote na akaamua kuzifanyia kazi hisia zake, akapiga nawe ukalia, ngoma droo.

Lakini wewe ulifaidi mara mbili zaidi kwa kisa kimoja.

Nashauri yamalizeni na mkweo yasifike kwa mume na iwe siri yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…