Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

Ukweli wa jambo sio opinion, ni fact!

Unasema ni shekhe wa kweli, hebu nitajie sifa za shekhe na imamu wa kweli ni zipi? na sifa za mshirikina ni zipi!
Kama kaaminiwa na anasalisha kila siku kama imamu kwanini nisimuamini
 
Mi nimekuuliza, unazijua sifa za mshirikina?

Tuchukulie mfano umeenda kwa tabibu, awe ni shekhe ama padri je utamjuaje kama huyu ni mshirikina?
Hiyo mshirikina umesema wewe
Mimi nachojua ni imama anafundisha watu kuwatumia majini wazuri
 
We unajitekenya mwenyewe halafu unacheka! yoote haya ndo katika matumizi madogo ya akili
Kasirika ila ndo ukweli huyo imam sikutaka kumuuliza direct kama navyouliza huku
Ila ndo mishe zake we sema nikuunganishe nae
 
quran imefafanua kuwa wapo katika sisi majini wema na wabaya.lakini ikasema pia wapo watu wakiume na wakike wanajikinga na kuomba ulinzi kwa majini hawapati chochote zaid ya kuzidisha dhambi,..jaman quran haisem kuwa waislam tunbbudu majini na kwamb et tunawatumiaa hapna hapo majini yanayoingia makubaliano na wanadamu wote wamekufuru..rejea surat al baqara 102
 
Mm natumia Quran kuntrol majini kwa msaada wa baadhi ya aya ktk Quran zina nguvu kama ile suratul baqra ikisimulia uchawi wa malaika wawili walioshusha uchawi kule babeli ile aya ukitumia na kuwa na iman ukimcomand jini anakutiii yote utakayomuambia
 
Chuki ni kitu kibaya sana lakini bila shaka chuki yako kwa Uislamu inabebwa na ujinga (sijakusudia tusi). Uongofu ni kutoka kwake Allah na yeye anajua zaidi kilichopo moyoni mwako.

Kwa faida tu ya wengine, Nyumba inayosomwa Surah Baqara hakuna shetani anaweza kukaa kwenye nyumba hiyo (Sahih hadith - Muslim 780). Huu ni ushahidi wa wazi kwamba yanayosemwa hapo juu ni propaganda zilizotawaliwa na chuki na ujinga wa hali ya juu.
 
quran imefafanua kuwa wapo katika sisi majini wema na wabaya.lakini ikasema pia wapo watu wakiume na wakike wanajikinga na kuomba ulinzi kwa majini hawapati chochote zaid ya kuzidisha dhambi,..jaman quran haisem kuwa waislam tunbbudu majini na kwamb et tunawatumiaa hapna hapo majini yanayoingia makubaliano na wanadamu wote wamekufuru..rejea surat al baqara 102
Ukiangalia vizuri hawapo kwa kutaka kujua ukweli ni nini, bali wapo kutekeleza propaganda zao tu dhidi ya uislamu.

Allah ndio mjuzi.
 
Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
Kuna yule jamaa anaitwa nani jina lake limenitoka ndio anaweza kuitafasiri kwa lugha 4 km sikosea
 
Chuki ni kitu kibaya sana lakini bila shaka chuki yako kwa Uislamu inabebwa na ujinga (sijakusudia tusi). Uongofu ni kutoka kwake Allah na yeye anajua zaidi kilichopo moyoni mwako.

Kwa faida tu ya wengine, Nyumba inayosomwa Surah Baqara hakuna shetani anaweza kukaa kwenye nyumba hiyo (Sahih hadith - Muslim 780). Huu ni ushahidi wa wazi kwamba yanayosemwa hapo juu ni propaganda zilizotawaliwa na chuki na ujinga wa hali ya juu.
Nikuonyeshe hiyo aya kuwa unaweza kutumia uchawi kufanya jambo lolote
 
Back
Top Bottom