Surrogacy imeturahishishia maisha

Surrogacy imeturahishishia maisha

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
 
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
Leo umejifunza kamsamiati, umekuja kuringishia kwa style ya thread.[emoji23]
 
Mi siwaelewagi tu wenzangu

Kwan ubaya wa kuwa na demu mmoja ni nini??
 
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
Axeee umenikumbusha mbali mkuu,ko utakubaliana na wife kuiweka kwa bek 3 nn?
 
Mim ni kijana wa kitanzania tokea nakua nahisi Nina damu ya kunguni nimekua ni mtu wa kukatawaliwa na wanawake pona yangu ni masturbation na dada poa, ni mwanamke mmoja tu alinikubalia lakin baada ya siku mbili alinipotezea, nimejaribu jamiiforum love connect Nako hola inaumiza Ila nimejifunza ni Bora kukubaliana na uhalisia ndo pona yangu

Umri umeenda nataka niwe na familia changamoto kila mwanamke ananikataa option iliyopo Nina kama kiasi flani sitaki kukiweka sababu ntaonekana kama natumia mbinu ya kutafutia wanawake huku kwa hiyo nimeona ni Bora nitafute mtoto kwa njia ya surrogate

Japokua najenga familia kupitia surrogate sichukii na Sina kinyongo na wanawake au wanawaume ambao Wana mpango wa kuoa

"Mda mwingine maisha hayakupi kile unachotaka Bali unachostahili"
 
Last edited:
Dah!kwenye 100+ hapo

Huyo surrogate unampa shingapi manake Depal aliniambiaga nimfanyie mchakato
Sijajua Ila inategemea na nchi ambayo unataka kufanya mfano India ni cheap Ila marekani ni expensive mim nilivyofanya kautafiti kangu nikaona ukiwa na million 100 unaweza fanya Ila gharama inaweza ongezeka

Mim target yangu ni India wao wako cheap
 
Back
Top Bottom