Surrogacy imeturahishishia maisha

Surrogacy imeturahishishia maisha

Sijajua Ila inategemea na nchi ambayo unataka kufanya mfano India ni cheap Ila marekani ni expensive mim nilivyofanya kautafiti kangu nikaona ukiwa na million 100 unaweza fanya Ila gharama inaweza ongezeka

Mim target yangu ni India wao wako cheap
Hata huko India inategemea na bahati yako maana ni nadra sana kufanya IVF ikafanikiwa kwa kara moja.

Pia ujue India siku hizi hawaruhusu surrogacy kama surrogate ni Mhindi kwa mtu ambaye si Mhindi!

Sehemu inayokubalika ni Nepal na kama Malaysia
 
Hiv ni mm ndi sijaelewa ama?

Aya sawa inatakiwa mbegu yako na yai la mwanamke(ovari sijui nfio mnaitaga hvyo) ili kurutubisha mimba kabla aijapandikizwa kwa mbebaji(surrogate mother) aya ilo yai la huyo mwanamke unalitoa wapi? Ama watakuuzia huko huko?
 
Una umri gani tuanzie hapo. Alafu umekuja kutupa taarifa, unaomba ushauri au ni swali unahitaji majibu !?
 
Hiv ni mm ndi sijaelewa ama?
Aya sawa inatakiwa mbegu yako na yai la mwanamke(ovari sijui nfio mnaitaga hvyo) ili kurutubisha mimba kabla aijapandikizwa kwa mbebaji(surrogate mother) aya ilo yai la huyo mwanamke unalitoa wapi? Ama watakuuzia huko huko?
Yayi lakike yanauzwa ntanunua
 
Sijajua Ila inategemea na nchi ambayo unataka kufanya mfano India ni cheap Ila marekani ni expensive mim nilivyofanya kautafiti kangu nikaona ukiwa na million 100 unaweza fanya Ila gharama inaweza ongezeka

Mim target yangu ni India wao wako cheap
kwahiyo hiyo 100M unayo [emoji57]
 
kwahiyo hiyo 100M unayo [emoji57]
Ndio ninayo, lakin Hiko kipendele Cha fedha nimeshakiondoa sababu wako watu ambao wameanza kunituhumu natumia kama njia ya kupata wanawake huku jf kumbe sio kweli
 
aah basi itumie kwenda mirembe ukatibiwe mkuu
 
Back
Top Bottom