Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la kukataliwa sio shida zetuKuna habari gani na hizo milion 100+ 😂
Na kwanini akataliwe sana? Ana shida gani!? Aweke wazi asaidike..
𝗔𝘀𝗲𝗻𝘁 𝗺𝗸𝘂𝘂 𝗸𝘄𝗮𝗸𝘂 𝗻𝗶𝗷𝘂𝘇𝗮 𝗵𝗶𝗹𝗼Kupata mtoto kupitia kupandikiza mbegu kwa mwanamke mwingine tofauti na mke wako akubebee mimba
Kwakweli katuchanganya kabisa,Hope itakuwa umeshalipia tangzo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Aweke day mezani sio?[emoji2]Hilo la kukataliwa sio shida zetu
Tuziangalie hizo 100+ kwanza [emoji28]
Mtoa mada anatuvuruga ujue[emoji4]Hii chai kabisa uwe na mtaji wa biashara inayoanzia milioni 45 huwezi kukosa demu. Halafu wewe una milioni 100+ mfukoni unasema unakosa mwanamke?. Au mimi ndio sijakuelewa?. Au chai yako ndio haijaeleweka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upo serious?...Kama unataka kupata mtt tu Kuna wanawake wao wanataka mwanaume aliye hai tu...
UNA MIAKA MINGAPI?Mim ni kijana wa kitanzania tokea nakua nahisi Nina damu ya kunguni nimekua ni mtu wa kukatawaliwa na wanawake pona yangu ni masturbation na dada poa, ni mwanamke mmoja tu alinikubalia lakin baada ya siku mbili alinipotezea, nimejaribu jamiiforum love connect Nako hola inaumiza Ila nimejifunza ni Bora kukubaliana na uhalisia ndo pona yangu
Umri umeenda nataka niwe na familia changamoto kila mwanamke ananikataa option iliyopo nina kama kiasi flani cha fedha sitaki kukiweka sababu ntaonekana kama natumia mbinu ya kutafutia wanawake huku jf, kwa hiyo nimeona ni bora nitafute mtoto kwa njia ya surrogate
Wazazi na familia, marafiki na watu wanaonijua kwa ujumla watakua disappointment ila this is the way it is
Japokua najenga familia kupitia surrogate sichukii na sina kinyongo na wanawake au wanawaume ambao Wana mpango wa kuoa, au kuiponda ndoa kufanya hivyo nitajiingiza kwenye stress kitu ambacho nakikwepa sana najitahidi nistay positive
"Mda mwingine maisha hayakupi kile unachotaka Bali unachostahili"
30'sUNA MIAKA MINGAPI?
Jaribu kutoa sadaka, kawasalimie wazazi wako mara kwa mara na uwatendee wema wakutamkie maneno mazuri, jitahidi kufunga na kuamka usiku kusali.30's
Hyo ndio kitu gani kwamb mbegu zako zinapelekwaindia au inafanyikaje
Huko India ni bei gani?Mim target yangu ni India wao wako cheap
Mkuu,Mim ni kijana wa kitanzania tokea nakua nahisi Nina damu ya kunguni nimekua ni mtu wa kukatawaliwa na wanawake pona yangu ni masturbation na dada poa, ni mwanamke mmoja tu alinikubalia lakin baada ya siku mbili alinipotezea, nimejaribu jamiiforum love connect Nako hola inaumiza Ila nimejifunza ni Bora kukubaliana na uhalisia ndo pona yangu