Mim ni kijana wa kitanzania tokea nakua nahisi Nina damu ya kunguni nimekua ni mtu wa kukatawaliwa na wanawake pona yangu ni masturbation na dada poa, ni mwanamke mmoja tu alinikubalia lakin baada ya siku mbili alinipotezea, nimejaribu jamiiforum love connect Nako hola inaumiza Ila nimejifunza ni Bora kukubaliana na uhalisia ndo pona yangu
Umri umeenda nataka niwe na familia changamoto kila mwanamke ananikataa option iliyopo nina kama kiasi flani cha fedha sitaki kukiweka sababu ntaonekana kama natumia mbinu ya kutafutia wanawake huku jf, kwa hiyo nimeona ni bora nitafute mtoto kwa njia ya surrogate
Wazazi na familia, marafiki na watu wanaonijua kwa ujumla watakua disappointment ila this is the way it is
Japokua najenga familia kupitia surrogate sichukii na sina kinyongo na wanawake au wanawaume ambao Wana mpango wa kuoa, au kuiponda ndoa kufanya hivyo nitajiingiza kwenye stress kitu ambacho nakikwepa sana najitahidi nistay positive
"Mda mwingine maisha hayakupi kile unachotaka Bali unachostahili"