Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey
Faida ya survey
✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita
✅utajua gharama halisi za uchimbaji
Hasara za kutokufanya survey
✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa
MAWASILIANO 0769509666
View attachment 3406906View attachment 3406907