Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

Haki kwa yale maneno aliyozungumza siku ile aaaaah wewe haki gani hiyo mbona unanifedhehesha hapa. Jokate hafai maswala ya uongozi yule hana hiyo haiba ya uongozi.
Kwangu mie anafaa sana....namkubali
Mapungufu yake mengine kila binadamu anayo hata mie ninayo

Kwangu mie Jokate ni mwanamke na nusu
 
Mambo yakiitwa ya Siri lazima yabaki kuwa ya Siri. Kitu ambacho hutaki wengine wakione ni vyema kikabaki kuwa ni Siri. Kitu cha Siri kikijulikana, si Siri tena.

Mtu ambaye hawezi kutunza Siri huitwa hayawani, na mambo ya siri ukiyaweka wazi, unakuwa mpuuzi. Kiongozi anaapa kutunza si Siri za Afisi hata zake pia. Umenipata mwalimu
Una koneksheni yake unipe nione hiyo siri ya hadharani???
 
Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake.
CCM Ina wenyewe, kuna familia Hadi vitukuu vitateuliwa kuongoza nchi,
Wewe unachanganya Celine Kombani (marehem),na Familia ya Kunambi. Kombani wanatoka Ulanga( Mashariki na Magharibi) Wapogoro. Kunambi wanatoka Milima ya Uluguru ni Waluguru. Kunambi wana historia ya uchifu (sub chief) katika Kabila la Waluguru ambapo wazee wao wapo katika list ya wapigania uhuru 20 kipindi cha Nyerere, kwahiyo kizazi chao ( Godwin (Mbunge Mlimba, pia Mkurugenzi Jiji la Dodoma),Benadetha na Suzana Kunambis)wanakula faida ya uhuru. Celine Kombani alikua mbuge Ulanga mashariki mwanae Milinga(Mpunga wa Ulanga) alikua mbunge baada ya Mama yake kufariki ( Kwa sasa Milinga sio Mbunge.
 
Back
Top Bottom