Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake.Godwin Kunambi MP-Mlimba?!
CCM Ina wenyewe, kuna familia Hadi vitukuu vitateuliwa kuongoza nchi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake.Godwin Kunambi MP-Mlimba?!
Kwangu mie anafaa sana....namkubaliHaki kwa yale maneno aliyozungumza siku ile aaaaah wewe haki gani hiyo mbona unanifedhehesha hapa. Jokate hafai maswala ya uongozi yule hana hiyo haiba ya uongozi.
Una koneksheni yake unipe nione hiyo siri ya hadharani???Mambo yakiitwa ya Siri lazima yabaki kuwa ya Siri. Kitu ambacho hutaki wengine wakione ni vyema kikabaki kuwa ni Siri. Kitu cha Siri kikijulikana, si Siri tena.
Mtu ambaye hawezi kutunza Siri huitwa hayawani, na mambo ya siri ukiyaweka wazi, unakuwa mpuuzi. Kiongozi anaapa kutunza si Siri za Afisi hata zake pia. Umenipata mwalimu
Maji hufuata mkondoGodwin Kunambi MP-Mlimba?!
Umeanza udini wakoWakiristo wa Jf kimya meno nje. kwa sababu kachaguliwa miongoni mwao
ulikua wap kwan? 🐒Dada Jokate imekuwaje?
Yuko UVCCMJojo alikua anaitendea haki hiyo nafasi.....hadi akanihamasisha.
Huku kijijini Nkotokwiana, Newala.ulikua wap kwan? 🐒
Naona inabidi tufanye mpango wa kumuoa sasa. Ukimuona mwambie anipm tuyajenge 😄Wanawake wenye heshima wanekataa kuongozwa na single mother.
Uwt ni umoja wawasimbe tanzaniaWanawake wenye heshima wanekataa kuongozwa na single mother.
Wewe unachanganya Celine Kombani (marehem),na Familia ya Kunambi. Kombani wanatoka Ulanga( Mashariki na Magharibi) Wapogoro. Kunambi wanatoka Milima ya Uluguru ni Waluguru. Kunambi wana historia ya uchifu (sub chief) katika Kabila la Waluguru ambapo wazee wao wapo katika list ya wapigania uhuru 20 kipindi cha Nyerere, kwahiyo kizazi chao ( Godwin (Mbunge Mlimba, pia Mkurugenzi Jiji la Dodoma),Benadetha na Suzana Kunambis)wanakula faida ya uhuru. Celine Kombani alikua mbuge Ulanga mashariki mwanae Milinga(Mpunga wa Ulanga) alikua mbunge baada ya Mama yake kufariki ( Kwa sasa Milinga sio Mbunge.Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake.
CCM Ina wenyewe, kuna familia Hadi vitukuu vitateuliwa kuongoza nchi,
UnawashwaChakula
Bado uko Dodoma?Jojo alikua anaitendea haki hiyo nafasi.....hadi akanihamasisha.
Njoo nikukuneUnawashwa
Kunambi?! Hakuna Kunambi mwingine aliyeko kwenye uteuzi?
- Utaratibu ni ule ule sio!