JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hii Kuna ndugu yangu alirydi nayo toka masomoni UK kwa mbwembwe nyingi. Baada ya mwaka akaiuza kwa madai Spea zake Bei ni kubwa Sana. Sasa anapambana na ISTbya kulenga kwa dalali Magomeni
Pale DIT wanafanya modificationKuna Lorry nyingi sana za Dangote zina mfumo wa gas.
Anyway labda kuna mod zimefanyika.
Ila nadhani inawezekana.
Suzuki Swift Ni mkokoteni wenye injiniNitajie gari tofauti na Toyota ambayo spea zake ni bei rahisi.
Unajua bei ya ignition coil pack mbili za suzuki swift m13a?
Tutafute pesa aiseeKana spidi 200 haka
Yeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!
Malori ya Dangote yanatumia gas na ni dieselYeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!
Dangote kaona mbali sanaMalori ya Dangote yanatumia gas na ni diesel
Hivi ile generation yake baada ya hiyo iliyowekwa kwenye picha ina mapungufu yoyote ?View attachment 1925706View attachment 1925707
Dangote kaona mbali tofauti na Hawa matajiri wa kibongo wauza juisi!
Brother buana hata diesel engine inafungiwa gas system mfano ulio hai ni howo za dangoteYeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!
Broo hata kuweka gas ni modificationLazma kuna modification imefanyika kwenye mfumo.
View attachment 1925704
Nilinunua used ilala 260k, zote 2.Nitajie gari tofauti na Toyota ambayo spea zake ni bei rahisi.
Unajua bei ya ignition coil pack mbili za suzuki swift m13a?
Nilinunua used ilala 260k, zote 2.
Sijui nilipigwa?
Nilikuwa naweka kwenye suzuki jimny engine hiyo giyo M13A.
Mkuu kuagiza Dubai/Japan hakuna unafuu?Bei zake zinachezea huko huko.
Ukiondoa toyota gari zote zilizobaki bei ya spea ni kichomi....
Dubai labda ndio bei rahisi sababu ujanja ujanja mwingi kama Tz.Mkuu kuagiza Dubai/Japan hakuna unafuu?
Kuna jamaa yangu juzi kati kavaba yale lr discover ya kwa chris lukosi,namuombea sana ile gari isianze kumsumbuaHii Kuna ndugu yangu alirydi nayo toka masomoni UK kwa mbwembwe nyingi. Baada ya mwaka akaiuza kwa madai Spea zake Bei ni kubwa Sana. Sasa anapambana na ISTbya kulenga kwa dalali Magomeni
Ha ha ha! Discovery imekaaje sijui Bora Mtu mwenye Passo ana uhakika wa safari kuliko Discovery.Kuna jamaa yangu juzi kati kavaba ya lr discover ya kwa chris lukosi,namuombea sana ile gari isianze kumsumbua
Mkuu kwa nini maana nina mpango wa kuinunua ifanye Uber je iko na matatizo yoyote?Suzuki Swift Ni mkokoteni wenye injini