Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Umemjibu vema kabisa, kwanza IST ni boda chassis wakati Jimny ni frem chassis, tena ni manual ndo kabisa
 
Mkuu angalia ww unatak nn? Kama unafamilia IST ni bora ila kama huna chukua icho kizuzuk kama mtu uliestaafu vile.kwa ufupi IST is more classic than io gari ya shamba [emoji34].uwa wananunua wastaafu kwa ajili ya kubebea majani ya ng’0mbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umemuuliza kama anaweza mambo ya kuvunja
 
Ichukue hiyo Jimny kisha niuzie mimi mkuu au niunganishe nikainunue mimi. Hakuna gari nzuri yenye gharama nafuu kwa matumizi makubwa na ya kushangaza kama Suzuki Jimny. Ukiichukua hiyo nitakuona mwelewa sana

Nimetoka kuchek kwa dashboard ya TRA, value yake ipo juu asee.

Unadhani nitakuuzia bei gani 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…