Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Suzuki jimmy ni very powerful mini SUV car with very good fuel economy ambayo unaweza kwenda nayo popote bila presha wakati IST ni ka hatchbacks ambacho kinafanana na mtoto wa kitimoto.Hizo hasara za Suzuki Jimmy za kupishana kushuka na kupanda ni negligible na haziwezi kuifanya IST iwe bora!Halafu pia Suzuki Jimmy ni very durable compare na IST,yaani Suzuki Jimmy ni chuma kwelikweli.
Umemjibu vema kabisa, kwanza IST ni boda chassis wakati Jimny ni frem chassis, tena ni manual ndo kabisa
 
Mkuu angalia ww unatak nn? Kama unafamilia IST ni bora ila kama huna chukua icho kizuzuk kama mtu uliestaafu vile.kwa ufupi IST is more classic than io gari ya shamba [emoji34].uwa wananunua wastaafu kwa ajili ya kubebea majani ya ng’0mbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umemuuliza kama anaweza mambo ya kuvunja
 
Ichukue hiyo Jimny kisha niuzie mimi mkuu au niunganishe nikainunue mimi. Hakuna gari nzuri yenye gharama nafuu kwa matumizi makubwa na ya kushangaza kama Suzuki Jimny. Ukiichukua hiyo nitakuona mwelewa sana
Screenshot_20210317-112522_Chrome.jpg

Nimetoka kuchek kwa dashboard ya TRA, value yake ipo juu asee.

Unadhani nitakuuzia bei gani 😀😀
 
Back
Top Bottom