Suzuki yangu pasua kichwa

Suzuki yangu pasua kichwa

Mnapenda kulalamika sana , hivi haya magari ambayo yako kwenye makumbusho bado mnayatumia? mnatafutaga presha za bureeee , unaacha kununua ki vitz cc670 au ki IST 1200cc unahangaika na hayo makweche , tatizo mliaminishwa eti nunua gari ngumu, ngumu kwani unaendea vitani? uza screpa hiyo takataka tafuta hizo nilizokushauri na maisha haya ya miamala na kodi za luku utajuta.
We janja weed una matatizo.
 
Vua hiyo engine uza chuma chakavu valisha Engine mpya utasahau hayo majanga milele na milele, amina.
 
Mnapenda kulalamika sana , hivi haya magari ambayo yako kwenye makumbusho bado mnayatumia? mnatafutaga presha za bureeee , unaacha kununua ki vitz cc670 au ki IST 1200cc unahangaika na hayo makweche , tatizo mliaminishwa eti nunua gari ngumu, ngumu kwani unaendea vitani? uza screpa hiyo takataka tafuta hizo nilizokushauri na maisha haya ya miamala na kodi za luku utajuta.
Acha kuvaa vi bukta na kukaa kwa shemeji...hvyo vigari huwezi kulinganisha na hio machine ya kazi
 
Acha kuvaa vi bukta na kukaa kwa shemeji...hvyo vigari huwezi kulinganisha na hio machine ya kazi
unaona mawazo yaleyale ooh gari ngumu sijui nini hayo ma manual machines sikuhizi hamna ndiomaana brand hizo Japan hawatengenezi tena, kimsingi kukomaa na mikweche ni dalili za umasikini, unaaje na gari mpaka mnafanana? jiongeze
 
Mmmh ' ma manual machines siku hizi hamna'..anyway sawa mkuu, nimekuelewa
 
Kwanza nikuulize, Je huwa unaongeza coolant kwenye rejeta kila siku? Yaani kila siku ukifungua rejeta unaona coolant imepungua?

Mimi kwa harakaharaka mkuu naweza sema kuna shida kwenye cooling system. Na uwezekano mkubwa ni ECT sensor kuwa kimeo japo ni kama tu huo ulaji wa mafuta unarelate na cooling system. Lakini hapo ni mpaka ipimwe.

Otherwise iangaliwe kwanza kama cyclinder head imepinda, au kama kuna leakage yoyote kwenye cooling system ambayo ipelekea gari kuoverheat.
Mtaalam JituMirabaMinne , vipi kwa gari aina ya Suzuki Swift new model kuwaka taa ya check engine! Itakua ina changamoto gani? Au inataka tu service ndogo ya kumwaga oil, nk.

Ni manual gear box.
 
Licha ya hayo aliosema mkuu hapo juu kuna swala la cylinder head kupinda, engine block kutoboka, kupinda etc, swala la radiator kutobola, swala la oil cooler kwenye vile vidude vyake vya ndani kupata kutu etc kujua kama cylinder head ina shida weka coolant kwenye radiator halafu washa gari vuta resi ukiona mapovu mapovu kwa juu na maji yanaruka ruka fungua engine kaipime cylinder head kama imepinda kaipige pasi kama imepinda sana weka ingine pima na engine block hio
Nunua mswaki wa hio gari
 
unaona mawazo yaleyale ooh gari ngumu sijui nini hayo ma manual machines sikuhizi hamna ndiomaana brand hizo Japan hawatengenezi tena, kimsingi kukomaa na mikweche ni dalili za umasikini, unaaje na gari mpaka mnafanana? jiongeze
Unakuta mtu anamashamba porini huko, kila siku anabeba mbolea na mavi ya ng'ombe ili apate kuhudumia familia hivyo vi vits na ist vya nn?
 
shamba nunua pickup hizo gari ndio shughuli zake sio suzuki wala salon car
Maisha ya Mtz mpambanaji wa kawaida akitoka shamba gari inaoshwa wanaenda kanisani. Pickup atabeba mizigo na si kila siku shambani unabeba mizigo ila familia unawabeba kila siku.
 
Back
Top Bottom