Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
We janja weed una matatizo.Mnapenda kulalamika sana , hivi haya magari ambayo yako kwenye makumbusho bado mnayatumia? mnatafutaga presha za bureeee , unaacha kununua ki vitz cc670 au ki IST 1200cc unahangaika na hayo makweche , tatizo mliaminishwa eti nunua gari ngumu, ngumu kwani unaendea vitani? uza screpa hiyo takataka tafuta hizo nilizokushauri na maisha haya ya miamala na kodi za luku utajuta.